Zanzibar Fast Ferries

Zanzibar Fast Ferries Your Fast & Reliable Waterway Connection Equipped With Modern Tech.

Fare rate changes effective from Monday 11th May 2026 🚢 Zan Fast Ferries continues to provide reliable, comfortable, and...
09/05/2026

Fare rate changes effective from Monday 11th May 2026 🚢 Zan Fast Ferries continues to provide reliable, comfortable, and safe travel between Dar es Salaam and Zanzibar with updated rates across Silver, Gold, Platinum, and VIP classes. Plan your journey early and choose the travel experience that fits you best. For bookings and inquiries contact +255 699 911 300 or +255 740 310 310.

06/05/2026

Buy your ferry tickets now via Whatsapp without any queues or hassle!

Get started Now! Send a message to 0740310310 and start buying your tickets!

06/05/2026

Nunua tiketi sasa kupitia Whatsapp bila foleni wala usumbufu wowote

Ni rahisi sana. Tuma ujumbe kwenda namba 0740310310 uanze kununua tiketi yako sasa!

# whatsappchatbot

Linking hearts and markets 🌊 The reliable bridge connecting Tanga and Mkoani with safe, smooth, and dependable journeys ...
04/05/2026

Linking hearts and markets 🌊 The reliable bridge connecting Tanga and Mkoani with safe, smooth, and dependable journeys every day.

Heri ya Siku ya Wafanyakazi 💼✨Tunathamini juhudi, bidii na mchango wa kila mfanyakazi katika kujenga jamii boraZanFast F...
01/05/2026

Heri ya Siku ya Wafanyakazi 💼✨
Tunathamini juhudi, bidii na mchango wa kila mfanyakazi katika kujenga jamii bora

ZanFast Ferries, tumejikita kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora, salama na kwa wakati—kila safari ni ahadi yetu kwenu

Asanteni kwa kuwa sehemu ya safari zetu 🚢🇹🇿

ZanFastFerries HudumaBora SafariSalama

Tunawatakia mapumziko mema ya sikukuu ya Mei Mosi!
01/05/2026

Tunawatakia mapumziko mema ya sikukuu ya Mei Mosi!

Kata tiketi kwa urahisi kupitia WhatsApp 📲 Tuma ujumbe  sasa kupitia +255 740 310 310 na upate tiketi yako haraka bila f...
01/05/2026

Kata tiketi kwa urahisi kupitia WhatsApp 📲 Tuma ujumbe sasa kupitia +255 740 310 310 na upate tiketi yako haraka bila foleni wala usumbufu.

Hii si ya kukosa kabisa ⚽ Twenzetu New Amani Complex, Zanzibar tarehe 29 April 2026 kushuhudia fainali kali ya Kombe la ...
28/04/2026

Hii si ya kukosa kabisa ⚽ Twenzetu New Amani Complex, Zanzibar tarehe 29 April 2026 kushuhudia fainali kali ya Kombe la Muungano kati ya Simba SC vs Yanga SC—safiri kwa urahisi na jipatie tiketi ya boti ya kwenda na kurudi kwa bei ya ofa sasa.

Safari inaanza kwa hatua moja 🚢Urahisi, kasi na uhakika—ndivyo tunavyokusafirisha.Karibu ufurahie huduma bora na Zan Fas...
27/04/2026

Safari inaanza kwa hatua moja 🚢
Urahisi, kasi na uhakika—ndivyo tunavyokusafirisha.
Karibu ufurahie huduma bora na Zan Fast Ferries kila unapovuka bahari.

Tunawatakia Watanzania wote heri ya maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
26/04/2026

Tunawatakia Watanzania wote heri ya maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Huduma bora huanza na tabasamu 😊Tunajali kila mteja, kila wakati
24/04/2026

Huduma bora huanza na tabasamu 😊
Tunajali kila mteja, kila wakati





Address

Malindi Port
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Fast Ferries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zanzibar Fast Ferries:

Share