14/06/2025
KAZI YETU NI KUKUSIMAMIA MANUNUZI YAKO NCHINI CHINA โ KUANZIA KIWANDANI HADI MLANGONI KWAKO!
Unahitaji bidhaa kutoka China lakini hujui pa kuanzia? Acha sisi tushughulikie kila kitu kwa niaba yako!
๐น Tunatafuta bidhaa bora za bei nafuu kutoka viwandani na masokoni.
๐น Tunafanya mazungumzo ya kibiashara na wazalishaji kwa niaba yako.
๐น Tunakagua ubora wa bidhaa zako kabla ya kusafirishwa.
๐น Tunashughulikia usafirishaji โ kwa hewa au baharini โ hadi Tanzania/Zanzibar au popote ulipo.
๐น Tunahakikisha mzigo unafika salama hadi mlangoni kwako.
Kwa kifupi: Wewe unachagua bidhaa, sisi tunasimamia kila kitu hadi ufikishiwe!
Wasiliana nasi leo upate huduma ya uhakika na ya kitaalamu!
๐ 255 772 768 787
๐ง [email protected]
๐Vikokotoni, Zanzibar
Huduma kwa wateja wa Tanzania, Zanzibar, na Afrika Mashariki kwa ujumla.