30/12/2023
Mwaka huu ulinijaribu kwa njia ambazo sikuwa nimepitia katika miaka iliopita. Nimejitahidi niwezavyo kuficha maumivu,Lakini, ninashikilia imani kwamba 2024 utakuwa mwaka ambao nitatengeneza imani yangu iliyozaliwa kutokana na uthabiti na nguvu,napenda pia kutumiea nafasi hii kuwaomba radhi wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine.