JOBIC Trading Company Limited

JOBIC Trading Company Limited Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JOBIC Trading Company Limited, Transportation Service, Morogoro.

Kampuni ya JOBIC TRADING COMPANY LIMITED...
Tunakutangazia hudama bora zipatikanazo na kwa bei nafuu kabisa..
1️⃣Usafi wa majengo mapya na ya makazi..
2️⃣Usafi wa madirsha
3️⃣Usafi wa tiles/sink
4️⃣Usafi wa ofisi
5️⃣Usafi wa sofa/zuria
6️⃣ Fumigation

25/04/2026

*MENDE*
Hatua za kutokomeza mende
1. Fanya usafi wa jiko kila siku kwa kuondoa mabaki ya chakula mara kwa mara.
2. Funga maeneo ya maji kwasababu mende. anapenda unyevunyevu
3. Tupa taka kila siku yaani usiruhusu uchafu ukae ndani usiku.
4. Safisha kona ya chini ya kabati kwani hapo ndipo mende kujificha.
5. Tumia dawa sahihi ili kuzuia harufu na uchafu.

NIPO KUKUHUDUMIA ✌️

🛑USIKUBALI KUISHI NA PANYA, MBU, MENDE, KUNGUNI, NYOKA NA MENGINEYO! 🛑*Teknolojia MPYA ya FUMIGATION kwa njia ya UKUNGU ...
21/07/2025

🛑USIKUBALI KUISHI NA PANYA, MBU, MENDE, KUNGUNI, NYOKA NA MENGINEYO! 🛑
*Teknolojia MPYA ya FUMIGATION kwa njia ya UKUNGU imewasili!* 💨🐜

Unasumbuliwa na wadudu waharibifu nyumbani, ofisini, au biashara yako?
Tunatumia *fumigation ya kisasa kwa ukungu (fogging)* – teknolojia inayoingia hadi mafichoni, hata kwenye mashimo madogo na maeneo magumu kufikiwa!

✅ Salama kwa binadamu na wanyama
✅ Harufu haitokani na dawa
✅ Huduma ya haraka na yenye ufanisi
✅ Inaua kila aina ya wadudu mara moja!

📍Tunapatikana MOROGORO MJINI.
📅 Huduma inapatikana siku 7 kwa wiki
📞 Wasiliana nasi sasa kwa 0759882507
📩 Au tuma DM tukufikie mara moja!

*FUMIGATION SAFI, MAISHA SALAMA!*

03/07/2025

Nipe deal boss wangu 0759882507

K**a jibu ni ndiyo.....Basi fanya kutupigia 0759882507 chap
28/03/2025

K**a jibu ni ndiyo.....
Basi fanya kutupigia 0759882507 chap

"😱 Nyumba safi, biashara yenye kung’aa, ofisi ya kuvutia—unaipata wapi? JOBIC TRADING COMPANY LIMITED "🚨 HUDUMA MPYA! Tu...
27/01/2025

"😱 Nyumba safi, biashara yenye kung’aa, ofisi ya kuvutia—unaipata wapi? JOBIC TRADING COMPANY LIMITED

"🚨 HUDUMA MPYA! Tunaleta usafi wa hali ya juu kwa punguzo maalum la 20%! 🌿 Wateja wetu wanashuhudia mabadiliko ya kweli – nafasi yako ni sasa! Usikubali upitwe. 😍"

"⚡ Chukua hatua haraka! Piga simu 📞 au tuma WhatsApp 💬. Ukikosa hii, BASI TENA! 👋"

✨ Usafi wa kiwango cha juu, sasa kwa punguzo la 20%!
📍 Nyumba | Ofisi | Biashara
⏳ Ofa ni ya muda mfupi pekee – wahi sasa!
📞 Simu/Whatsapp: 0759882507
🌟 JOBIC Trading Company Limited – Safisha. Kung’aa. Furahia.

Wanakela sana hawa viumbe...Nipo kukuhudumia kwa gharama nafuu sana 0759882507KARIBU
15/01/2025

Wanakela sana hawa viumbe...
Nipo kukuhudumia kwa gharama nafuu sana
0759882507
KARIBU

Kampuni ya JOBIC TRADING COMPANY LIMITED...Tunakutangazia hudama bora zipatikanazo kwa bei nafuu kabisa..1️⃣Usafi wa maj...
02/01/2025

Kampuni ya JOBIC TRADING COMPANY LIMITED...
Tunakutangazia hudama bora zipatikanazo kwa bei nafuu kabisa..
1️⃣Usafi wa majengo mapya na ya makazi..
2️⃣Usafi wa madirsha/ aluminium/pevin
3️⃣Usafi wa tiles/sink
4️⃣Usafi wa ofisi na sehemu za biashara..
5️⃣Usafi wa sofa/zuria
6️⃣Usafi wa kufua nguo na kunyoosha..
7️⃣ Fumigation kwenye makazi na Taasisi mbalimbali..
8️⃣Usafi wa mazingira kwa ujumla
N.k
Tunapatikana: Morogoro Ghorofa ya shani cinema floor 2 chumba namba 207
Mawasiliano: 0759882507/0719851851
Karibu Nikuhudumie

   Karibuni nipo hapa kuwahudumia kwa gharama nafuu sana
01/01/2025



Karibuni nipo hapa kuwahudumia kwa gharama nafuu sana

06/12/2024

HABARI
USIHANGAIKE KUBADILISHA KITAMBAA CHA SOFA ZAKO , KARIBU # TRADING COMPANY LIMITED UJIPATIE BIDHAA YA KUSAFISHA SOFA ZA VITAMBAA NA LAZER KWA KUTUMIA POVU HUNA HAJA YA KULOWEKA BILA KUANIKA JUANI, INASAFISHA SEAT COVERS ZA MAGARI,BED COVERS, VITI VYA DINING , COVERS ZA MAGODORO, NA CARPET.

TUNAFANYA DERIVERY KWA MOROGORO NA WATU WALIO NJE YA MKOA KWA GHARAMA ZA MTEJA POPOTE ULIPO
PIA NATOA HUDUMA YA USAFI WA MAJUMBANI OFSINI NA HOTEL KWA MOROGORO. KWA MKOANI TUNATUMA BIDHAA KWA UAMINIFU KABISA.

BIDHAA ZETU ZINAPATIKANA KUANZIA
35000
45000
ELFU 75000

LAKINI PIA TUNA BIDHAA NZULI SANA KWA AJIRI YA USAFI WA SINK, TILES, MAJIKO, FRIJI, OVENS,UKUTA KUUWA NA KUFUKUZA WADUDU WALUKAO NA KUTAMBAA K**A MENDE , KUNGUNI, SISIMIZI, MBU N.K.
WASILIANA NASI JOBIC Trading Company Limited

TUPIGIE KWA NAMBA ZA SIMU 0759882507
Mawasiliano Whatsapp 0759882507
Instagram

bora hutegemea mazingira Bora na salama.

Dada mwenye JOBIC Trading Company  Limited mjini 0759882507
04/12/2024

Dada mwenye JOBIC Trading Company Limited mjini 0759882507

04/12/2024

Baada ya kumaliza usafi tulipanga na vitu pia...
Ni jukumu letu kukupa kilicho bora zaidi ya jana

Kwa shughuli zote za usafi na usafishaji tupigie 0759882507 KARIBUNI SANA

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JOBIC Trading Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JOBIC Trading Company Limited:

Share