23/06/2020
Haya ni sisi tena HEGI TRANSPORT COMPANY LIMITED Tumerudi tena baada ya janga zima la Corona kuzimishwa kwa nguvu za Mungu wetu alie juu sasa tumerudi kuchapa kazi karibu usafiri ndio huo harusi yako na mambo mengine tutafute tukukodishie usafiri ndio huo tumerudi upya barabarani.
Mawasiliano yetu ni haya
0659148892 / 0715610064
Au tuandikie e-mail [email protected]
WOTE MNAKARIBISHWA..... @ Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania