Nock Success story

Nock Success story success stories wakikwetu watu wa kagera kwa wingi

🌹🌹FANYA UNACHOKIAMINI ,USIANGALIE WATU WANASEMA NINI, Maana hawaujui uwezo wako wa ndani na kamwe hawawezi kuamini unach...
09/02/2023

🌹🌹FANYA UNACHOKIAMINI ,USIANGALIE WATU WANASEMA NINI, Maana hawaujui uwezo wako wa ndani na kamwe hawawezi kuamini unachokisema juu ya maono yako🌹🌹
Nock Success story

🌹🌹NI VIBAYA SANA BINADAMU KUMCHUKIA BINADAMU MWINGINENdiyo utamfanyia yote kwa sasa lakini ukumbuke kuna mda Moto utawak...
09/02/2023

🌹🌹NI VIBAYA SANA BINADAMU KUMCHUKIA BINADAMU MWINGINE
Ndiyo utamfanyia yote kwa sasa lakini ukumbuke kuna mda Moto utawaka ndani ya MOYO wako ukidai kwanini ulitenda yale kwa mtu asie na atia mbele ya uso wa MUNGU
Vaa Utu ,Ondoa mzigo wa chuki ndani ya moyo wako.🌹🌹
Nock Success story

🌹🌹Ukiwa na kitu ambacho hakileti FAIDA au MATOKEO kinakuletea hasara tu unafika mda unakitupa na kuachana nacho kabisa.S...
13/01/2023

🌹🌹Ukiwa na kitu ambacho hakileti FAIDA au MATOKEO kinakuletea hasara tu unafika mda unakitupa na kuachana nacho kabisa.
Sasa na MUNGU ndivo anavofanya kwa Watu ambao hawana malengo hawapotiali kutimiza KUSUDI alilowaletea apa Duniani ni k**a wana mtia hasala MUNGU ,nae anaona ni Kheri kuwaondoa kuliko kwendelea kumtia hasara ,
MUNGU ni k**a amewekeza mda kwetu ili tuweze kuleta MATOKEO mazuri apa Duniani
HASARA MUNGU🌹🌹
Nock Saidyfaithoflion

🌹🌹Unaweza ukawa na Juhudi na ukawa na Ujasili wa kufanya Mambo lakini USIPOKUA NA MWELEKEO KATIKA MAISHA wewe apo UMEFAI...
08/01/2023

🌹🌹Unaweza ukawa na Juhudi na ukawa na Ujasili wa kufanya Mambo lakini USIPOKUA NA MWELEKEO KATIKA MAISHA wewe apo UMEFAIL ,unachokifanya nisawasawa na BURE, wewe apo unapambana kuishi LEO TU
Usipojua unataka nini? Usipojua wewe ni nani? usipojua unatafuta nini? Utaweka juhudi zoote lakini Hautapata matokeo . Tafuta kusudi na lihishi 🌹🌹

09/08/2022

Address

Mwanjelwa
Mbeya

Telephone

+255717223110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nock Success story posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category