TricyRide

TricyRide TricyRide is the innovated programme of transport by mobile app which involve women as drivers and both gender passenges. It is there to upgrade women economy.

Coming soon
05/01/2022

Coming soon

Mwanamke wa Dar es Salaam, Zanzibar na Kigali, kwa mara ya kwanza kabisa tunakuletea programu mpya salama na inayoweza k...
09/09/2019

Mwanamke wa Dar es Salaam, Zanzibar na Kigali, kwa mara ya kwanza kabisa tunakuletea programu mpya salama na inayoweza kukuingizia hadi shilingi laki moja na nusu (150, 000/=), sawa na 60.18 Franca za Rwanda kwa siku.

♐Usalama tunaouzungumzia ni pale tutakapounganisha mfumo imara wa Global Possitioning System yaani GPS kwenye magari yote tutakayo sajiri. Hii itatoa usalama wa hali ya juu kwa dereva na gari lake pia. Hii haijawahi kutokea kwenye sysyem zingine nchini na nje ya nchi.

♐Mwanamke (dereva) unaweza kutengeneza pesa nyingi kwa siku hasa ukizingatia ya kwamba abiria wako ni jinsia zote, yaani wanawake, wanaume na watoto pia.
Tuna mambo mengi makubwa na mazuri ambayo hayajawahi tokea......!!!! Karibuni tutayaanza

coming soon starting from Dar, Zanzibar and Kigali
07/09/2019

coming soon starting from Dar, Zanzibar and Kigali

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TricyRide posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TricyRide:

Share