Wazuri wapo Transport

Wazuri wapo Transport Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wazuri wapo Transport, Kigoma, Kibirizi, soko la samaki, Kigoma.

22/11/2022
ashukuriwe m/mungu kwa kila jambo!   ninamshukuru sana mungu kwa kunijalia familia anipe familia iliyo njema na Bora.
22/11/2022

ashukuriwe m/mungu kwa kila jambo!
ninamshukuru sana mungu kwa kunijalia familia anipe familia iliyo njema na Bora.

kila hatua Dua,  nijambo la kumshukuru m/mungu kwa kutupa afya njema.
20/11/2022

kila hatua Dua,
nijambo la kumshukuru m/mungu kwa kutupa afya njema.

Ndg wadau wa burundi rumonge  Tunapenda kuwajulisha kuwa tuanza safari za kwenda rumonge siku ya juma pili tarehe 21/11/...
12/11/2021

Ndg wadau wa burundi rumonge
Tunapenda kuwajulisha kuwa tuanza safari za kwenda rumonge siku ya juma pili tarehe 21/11/2021 saa kumi jioni bot litaanza safari ya kwenda rumonge, wewe k**a mteja mdau wa karibu tunaomba ushirikiano wenu wa karibu katika kazi yetu. Fika ofisini kwetu kibirizi ipo karibu na msikiti wa answar.
Kwa mawasiliano 0756435277 whatssap na 0717115652

harakati za kazi sasa zinaanza ndg wapendwa mliokuwa mmepotea katika shughuri au biashara hii sasa tupo hewani kwa watej...
30/07/2020

harakati za kazi sasa zinaanza ndg wapendwa mliokuwa mmepotea katika shughuri au biashara hii sasa tupo hewani kwa wateja wetu wote mliopo burundi na drc kongo. karibuni sana mpate huduma iliyobora

30/01/2020

Address

Kigoma, Kibirizi, Soko La Samaki
Kigoma
255

Telephone

+255787435277

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wazuri wapo Transport posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wazuri wapo Transport:

Share