songoro marine boatyard

songoro marine boatyard Welcome to Songoro Marine Transport Ltd. Boatyard, East Africa's premier boat building and repair co

🌙✨EID MUBARAK✨🌙
20/03/2026

🌙✨EID MUBARAK✨🌙

Tumekuwa na wakati mzuri siku ya leo ambapo Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, ametembelea na kukagua...
20/02/2026

Tumekuwa na wakati mzuri siku ya leo ambapo
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, ametembelea na kukagua rasmi mradi wa Ukarabati wa daraja la kupandia (Gangway) – TAFIKO uliotekelezwa na Songoro Marine Transport katika eneo la Kigamboni, Jiji la Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Waziri alipokea mradi huo baada ya kujiridhisha na ubora wa kazi iliyofanyika, akisisitiza umuhimu wa miundombinu salama na imara katika kuimarisha sekta ya uvuvi na uchumi wa buluu kwa ujumla

Tumekuwa na wakati mzuri siku ya leo ambapo Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, ametembelea na kukagua...
20/02/2026

Tumekuwa na wakati mzuri siku ya leo ambapo
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, ametembelea na kukagua rasmi mradi wa Ukarabati wa daraja la kupandia (Gangway) – TAFIKO uliotekelezwa na Songoro Marine Transport katika eneo la Kigamboni, Jiji la Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Waziri alipokea mradi huo baada ya kujiridhisha na ubora wa kazi iliyofanyika, akisisitiza umuhimu wa miundombinu salama na imara katika kuimarisha sekta ya uvuvi na uchumi wa buluu kwa ujumla.

Happy New Year 🎆
31/12/2025

Happy New Year 🎆

Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Mkurugenzi wetu mpendwa, Khalid Songoro.Uongozi wako madhubuti, maono yako mapana na kujito...
04/12/2025

Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Mkurugenzi wetu mpendwa, Khalid Songoro.

Uongozi wako madhubuti, maono yako mapana na kujitolea kwako vimeendelea kuwa chachu ya mafanikio ndani ya Songoro Marine Transport.
Tunapozidi kusonga mbele na kufungua milango ya mafanikio mapya, mchango wako unaendelea kuwa dira na mwanga wa safari yetu.

Tunakutakia afya njema, mafanikio tele na miaka mingi zaidi ya uongozi wenye tija na baraka.
Salamu za dhati za siku ya kuzaliwa kutoka familia nzima ya Songoro Marine Transport.

Kwa niaba ya Songoro Marine Transport Limited, tunatoa salamu za heshima na kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kamba...
14/10/2025

Kwa niaba ya Songoro Marine Transport Limited, tunatoa salamu za heshima na kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa mchango wake mkubwa katika kuijenga Tanzania. Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Nyerere.

20/09/2025

MV UKEREWE
Kwa mara nyingine tena tunashuhudia uzinduzi wa kivuko kipya kati ya vitano, MV Ukerewe.

Kivuko hiki cha kisasa kimeundwa na kampuni ya kizalendo, hatua inayodhihirisha uwezo mkubwa wa Watanzania katika teknolojia ya uundaji meli.

Tunamshukuru kwa dhati Serikali yetu inayoongozwa na Mama yetu, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kusukuma mbele maendeleo ya wananchi, hususan wa Kanda ya Ziwa Victoria.

🚢🇹🇿

18/09/2025

MV BUKONDO.

Picha mbali mbali zikionesha kivuko kipya cha MV Bukondo katika ubora na viwango vya kisasa, tayari kutoa huduma salama ...
17/09/2025

Picha mbali mbali zikionesha kivuko kipya cha MV Bukondo katika ubora na viwango vya kisasa, tayari kutoa huduma salama na za uhakika kwenye Ziwa Victoria

Maulid Mubarak Katika siku hii tukufu ya Maulid, sisi Songoro Marine Transport tunaungana na Waislamu wote duniani kuadh...
05/09/2025

Maulid Mubarak

Katika siku hii tukufu ya Maulid, sisi Songoro Marine Transport tunaungana na Waislamu wote duniani kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W). Tuwombee amani, upendo na baraka kwa taifa letu na dunia nzima. 🌙🤲

Address

Kigamboni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when songoro marine boatyard posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to songoro marine boatyard:

Share

Category