Dodoma Safari's Tour

Dodoma Safari's Tour Dodoma Safari's Tour Kazi yetu kuhamasisha watanzania kutembelea hifadhi zetu. Karibu

Heri ya pasaka
05/04/2026

Heri ya pasaka

05/04/2026

Kwa niaba ya uongozi wa Dodoma Safari’s Tour, napenda kuwapa salamu za heri ya Pasaka. Kipindi hiki ni cha upendo, matumaini mapya na mwanzo mpya—thamani ambazo tunaziishi kila siku katika huduma zetu.

Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini katika safari zenu za utalii, tukiwapeleka kwenye vivutio vya kipekee k**a Ngorongoro Crater na maeneo mengine ya kuvutia hapa Tanzania.

Katika msimu huu wa Pasaka, tunawaalika mfanye safari nasi—mkajionee uzuri wa asili, wanyamapori na mandhari ya kipekee ambayo nchi yetu imebarikiwa kuwa nayo.

🙏 Tunawatakia Pasaka njema iliyojaa furaha, amani na baraka tele.

Karibu tusafiri pamoja!— Afisa habari Dodoma Safari’s Tour

🇹🇿 #

05/04/2026

🌿🐘 Heri ya Pasaka!
Kwa niaba ya timu ya Dodoma Safari’s Tour, napenda kuwashukuru sana wateja wetu wote kwa kuendelea kutuamini katika safari zenu.
Pasaka hii iwe chanzo cha furaha, upendo na mwanzo mpya kwenu na familia zenu.
Karibu tusherehekee pamoja kwa safari za kipekee kwenye vivutio vya ajabu k**a Ngorongoro Crater!
Tunathamini sana ushirikiano wenu 🤝
— Manager, Dodoma Safari’s Tour

03/04/2026
Dodoma Safari's Tour tunawatakia waislamu wote Eid Al Fire njema mwenyezi mungu azikubali ibada zenu na awape amani na b...
21/03/2026

Dodoma Safari's Tour tunawatakia waislamu wote Eid Al Fire njema mwenyezi mungu azikubali ibada zenu na awape amani na baraka

05/03/2026

Unforgettable safari tour with members of Bank number one Dodoma branch to

🇹🇿

Hongera ya Kuzaliwa!Leo tunasherehekea si tu siku yako ya kuzaliwa, bali pia moyo wako wa upendo, uvumilivu na juhudi za...
23/02/2026

Hongera ya Kuzaliwa!

Leo tunasherehekea si tu siku yako ya kuzaliwa, bali pia moyo wako wa upendo, uvumilivu na juhudi zako za kutuonesha uzuri wa dunia.

Umefungua macho ya watu wengi kuona maajabu ya nchi yetu na kuvutiwa zaidi na historia, tamaduni na wanyamapori wetu.
Tunakutakia afya njema, mafanikio makubwa katika kazi yako, wageni wengi wenye furaha, na safari nyingi zenye kumbukumbu za kipekee.
Happy birthday

🇹🇿

Ni mwezi mtakatifu wa mfungo wa  kwaresma Kwa waumini wa dini ya kikristu⛪Lakini pia ni mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramad...
20/02/2026

Ni mwezi mtakatifu wa mfungo wa kwaresma Kwa waumini wa dini ya kikristu⛪

Lakini pia ni mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadan Kwa waumini wa dini ya kiislamu 🕌

Dodoma Safari's Tour tunawatakia waumini wote mfungo Mwema wa kwaresma na Ramadan mwenyezi mungu awabariki katika kipindi hiki kitakatifu

Sisi k**a Dodoma Safari's Tour katika kuendeleza juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkk. Samia Suluhu Hassan katika kutangaza vivutio na utalii wa Tanzania

Msimu huu tumekuletea MFUNGO OFFER hii ni maalumu Kwa wewe mwenye ndoto ya kutembelea hifadhi zetu za Taifa

Tumekuletea punguzo la asilimia 10% ya gharama za kutembelea hifadhi ya Ngorongoro Crater (NCAA), Tarangire National Park, Mikumi National Park na Ruaha National Park baada ya mfungo wa mwezi wa Ramadan pamoja na kwaresma Tarehe 05- 07 Apr 2026

📍Kwa mawasiliano zaidi
☎️ +255 620 132 606
+255 787 851 515
✉️ [email protected]

Dodoma Safari's tour tunawatakia Heri ya mfungo wa Ramadan    🇹🇿
20/02/2026

Dodoma Safari's tour tunawatakia Heri ya mfungo wa Ramadan


🇹🇿

Dodoma Safari's tour tunawatakia Heri ya mfungo wa kwaresma   ✝️🌿    🇹🇿
20/02/2026

Dodoma Safari's tour tunawatakia Heri ya mfungo wa kwaresma


✝️🌿 🇹🇿

Address

Dodoma

Website

https://www.youtube.com/@dstv373

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma Safari's Tour posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dodoma Safari's Tour:

Share