Shabiby Line

Shabiby Line Welcome to the official page of shabiby line

ONGEZA MUONEKANO PAMOJA NA KUKUZA  BIASHARA YAKO KWA UFANISI ZAIDI🚀Shabiby Line Transit TV ni programu inayokupa nafasi ...
11/11/2025

ONGEZA MUONEKANO PAMOJA NA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA UFANISI ZAIDI🚀

Shabiby Line Transit TV ni programu inayokupa nafasi ya kutangaza bidhaa au huduma zako kupitia runinga/televisheni zinazopatikana ndani ya mabasi yetu,kumbuka mabasi yetu yanafika mikoa mbalimbali nchini.

mabasi yetu husafirisha maelfu ya abiria kila siku nchini,hii inakupatia uhakika mkubwa wa kuwafikia wateja au walengwa wa biashara yako .

WASILIANA NASI SASA

📞 Simu: +255 758 071 058
💬 WhatsApp: +255 738 071 051

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

Leo ni siku yenye mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa mkurugenzi wa kampuni ya   na KTN OIL Mh.Ahmed Mabkhut Shabiby, Uongoz...
14/09/2025

Leo ni siku yenye mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa mkurugenzi wa kampuni ya na KTN OIL Mh.Ahmed Mabkhut Shabiby, Uongozi na wafanyakazi wa tunamtakia maisha marefu na muendelezo wa mafanikio maishani mwake. HAPPY BIRTHDAY BOSS!🎂

Tuungane kwa pamoja kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mkurugenzi wetu.

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

HAPPY SIMBA DAY KWA ABIRIA WETU MASHABIKI WA MNYAMA..!🦁🚨Leo ni siku ya mashabiki wa klabu ya simba na hapa wametisha mgo...
10/09/2025

HAPPY SIMBA DAY KWA ABIRIA WETU MASHABIKI WA MNYAMA..!🦁🚨

Leo ni siku ya mashabiki wa klabu ya simba na hapa wametisha mgongoni na SHABIBY D14,wananchi mnaweza kulipa hii twende sawa?

LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL

Address

Makole
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shabiby Line posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shabiby Line:

Shortcuts

Share