09/06/2026
Kusafiri sio tu kufika unakoenda, ni jinsi unavyofika! Amsha Ki-boss kwenye safari yako ijayo kwa kuchagua gari zenye steeze na faraja ya hali ya juu. 👑✨
Kutoka katikati ya mji hadi pembezoni, Ngasere High Class tunakuhakikishia Safari Bila Kuchoka yenye heshima na huduma ya kipekee.
🚌 Ruti zetu kutoka DODOMA kuelekea:
📍 Arusha | Moshi | Rombo | Same
📍 Mwanza | Tabora
📍 Mbeya | Njombe | Tunduma
Pamoja na ruti yetu ya:
📍 MPWAPWA kuelekea Dar es Salaam ↔️
Jihudumie ki-Boss sasa hivi bila usumbufu wa stendi! Tembelea tovuti yetu au piga simu sasa hivi kujiandalia siti yako ya kifalme.
🌐 www.ngasere.com
📞 Wasiliana nasi: 0628 322 221