Maning NICE Classic

Maning NICE Classic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maning NICE Classic, Transportation Service, Dar es Salaam.

Soon...... Nini maoni yako mdau wetu
24/04/2026

Soon...... Nini maoni yako mdau wetu

05/04/2026
NEW ROUTE LOADING..... ENDELEA KUTEMBELEA KURASA ZETU UWEZE KUPATA HABARI NJEMA KWA WAKATI IKIWA NI KUKATA TIKET NA KUSA...
31/03/2026

NEW ROUTE LOADING..... ENDELEA KUTEMBELEA KURASA ZETU UWEZE KUPATA HABARI NJEMA KWA WAKATI IKIWA NI KUKATA TIKET NA KUSAFIRISHA MIZIGO KWENYE MIKOA YOTE TUNAYOTOA HUDUMA .....

BOOK ONLINE
WWW MANINGNICE.CO.TZ
kwa MAWASILIANO zaid
0712679759
0744667620

30/03/2026

Ilivyokua hapo babati

KWANN TUJUMUIJE WENYEWE WAKAT KUNA FAMILIA INAYOTUOMBEA KILA KISKU KATIKA KUHAKIKISHA TUNAWAHUDUMIA WANA BABATI VYEMAKEK...
28/03/2026

KWANN TUJUMUIJE WENYEWE WAKAT KUNA FAMILIA INAYOTUOMBEA KILA KISKU KATIKA KUHAKIKISHA TUNAWAHUDUMIA WANA BABATI VYEMA
KEKI YETU IKAENDA MOJA KWA MOJA MPAKA KWENYE KITUO CHA KULEA WATOTO YATIMA CHA CENTER KWA AJIRI YA KUUKATA KEKI
PIA TUPENDE KUHUSHUKURU UONGOZI MZIMA WA , KWA KUTUPOKEA NA KUJUMUIKA NASI PAMOJA

ILIKUA  SIKU, INAWA WIKI, ,IKAWA MWEZI NA HATIMAE IKAWA MWAKA. KWA T839 ELA  "BLACK SEA" CHIINI YA USIMAMIZI WA CAPT ABD...
28/03/2026

ILIKUA SIKU, INAWA WIKI, ,IKAWA MWEZI NA HATIMAE IKAWA MWAKA. KWA T839 ELA "BLACK SEA" CHIINI YA USIMAMIZI WA CAPT ABDU HAHAHAHAHAHA...... KWA ROUTE YA DAR TO BABATI VIA KONDOA ...... HAPPY BDAY BLACK SEA

03/02/2026

Wateja wetu simu ziite huduma ni masa 24 kwa wiki piga simu muda wowote huduma kwa wateja utapata kusikilizwa na kupewa huduma iliotikuka

BOOK ONLINE
WWW MANINGNICE.CO.TZ
DAR... SONGEA... 73,000/=
kwa MAWASILIANO zaid
0712679759
0744667620

Kaka kenedy ulizoea kutubeba katika basi lakini leo umetupa wakati mgumu kwenye mioyo yetu wa kukubeba na kukupeleka kat...
20/01/2026

Kaka kenedy ulizoea kutubeba katika basi lakini leo umetupa wakati mgumu kwenye mioyo yetu wa kukubeba na kukupeleka katika nyumban yako ya milele, hakika umeweka nukta katika maisha yako ya duniani lakin kumbukumbu yako daima itazid kuishi mioyoni mwetu, kwa niamba ya kampuni ya Maning NICE Classic tunapenda kuwashukuru wote mlioweza kufanikisha zoezi hili na pia tunazid kutoa mkono wa pole kwa waanga na waathirika wote wa ajali hii

17/01/2026

TANZAI TANZIA TANZIA
KAMPUNI YA Maning NICE Classic INATANGAZA MSIBA WA KUONDOKEA NA MFANYA KAZI WETU... DEREVA WETU KWA MAJINA YA KENEDY MASHAMBO KILICHOTOKANA NA AJALI YA BASI LETU KATIKA WILAYA YA KONDOA LENYE USAJILI WA NAMBA T825 ELA LINALOFANYA SAFARI ZAKE DAR..KONDOA ...BABATI. AIDHA PIA UONGOZI WA KAMPUNI YA MANING NICE CLASSIS UNATOA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA ZA WOTE WALIOATHIRIKA NA AJALI.... BWANA AMETOA NA NA BWABA AMETWAAA......

18/12/2025

TUNAMUITA ULAMAA .... UTAMPATA KILA SIKU KWENYE ROUTE YA DAR TO TUNDURU VIA LINDI.... JE UMEWAHI KUSAFIRI NAE.... KATA TIKETI YAKO UPATE FIRAHA YA KUSAFIRI NA MOJA YA DEREVA WETU MAHIRI KWA JINA LA ULAMAA
BUS. NO. 1
DAR.. TUNDURU VIA LINDI
SAAA 12 ASUBUI TMK

BUSNO. 2
DAR ... SONGEA VIA TUNDURU... SAA 10 JION MBEZI

BUS NO. 3
DAR.. TUNDURU VIA LINDI
SAA 1 USIKU MBEZI

NAULI.... 55000/=I

BOOK ONLINE
WWW MANINGNICE.CO.TZ
kwa MAWASILIANO zaid
0712679759
0744667620

18/12/2025

KUELEKEA MSIMU WA XMASS NA MWAKA MPYA KAMPUNI YA Maning NICE Classic INAKUKUMBUSHA KUFANYA BOOKING YAKO MAPEMA KUEPUKA KUPATA USUMBUFU KATIKA KIPIND HIKI

BOOK ONLINE
WWW MANINGNICE.CO.TZ
DAR... SONGEA... VIA LINDI....73,000/=
DAR....SONGEA .. VIA IRINGA.... 65000/=
kwa MAWASILIANO zaid
0712679759
0744667620

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255788667640

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maning NICE Classic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share