NitumeChap

NitumeChap NitumeChap: Tunapokea na kusafirisha mizigo,vifurushi popote. unaweza kutuagiza bidhaa popote tunaku

Nitume: Ni huduma ya kukuwezesha kutuma au kuagiza kitu chochote na tukakuletea ulipo au Kufikisha sehemu unayotaka kwa haraka na kwa maelekezo yako

Ungetamani kufahamu nini?
22/09/2021

Ungetamani kufahamu nini?

K**a were mjasiriamali na unamiliki biashara ambayo bidhaa zako zinatoka   kipindi hiki hali ya uchumi imebadilika kutok...
07/03/2021

K**a were mjasiriamali na unamiliki biashara ambayo bidhaa zako zinatoka kipindi hiki hali ya uchumi imebadilika kutokana na changamoto za kiafya na mlipuko wa magonjwa.

Biashara ni moja ya eneo linalo athirika zaidi na hali hii. Wafanyabiashara makini hutafuta njia bora za kuendelea kufanya biashara zao kwa faida.

Njia mojawapo ni kupunguza gharama za uendeshaji ili kufidia sehemu ya mauzo yanayopotea kutokana na mabadiliko mbalimbali k**a hilo ni eneo unalofikiria litaongeza thamani ktk biashara yako ikiwemo kukuongezea faida na kukupunguzia usumbufu na kupata muda zaidi kuwahudumia wateja wako.
Wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe cha meseji hapa chini, Tueleze mahitaji yako nasi tutakupa ushauri wa bure ambao umewasaidia wengi

we mean business πŸ’―

Kuna changamoto kubwa wakati wa kununua bidhaa mbalimbali mtandaoni, watu wasio waaminifu wamekuwa wakitumia nafasi hiyo...
30/01/2021

Kuna changamoto kubwa wakati wa kununua bidhaa mbalimbali mtandaoni, watu wasio waaminifu wamekuwa wakitumia nafasi hiyo kufanya udanganyifu na utapeli wa aina mbalimbali. Chukua tahadhari, Jiridhishe kabla ya kutuma fedha zako kuwa makini picha pekee yake haitoshi kuwa udhibitisho nenda hatua nyingine zaidi kupata uhakika!

Follow Us on Instagram!
30/01/2021

Follow Us on Instagram!

Effortless Delivery,   makes your job easy so that you can focus on what matters!                                       ...
28/01/2021

Effortless Delivery, makes your job easy so that you can focus on what matters!





20/12/2020

Wananchi wa mtaa mmoja huko Marekani wameamua kusimama barabarani kumpongeza dereva mmoja wa kampuni ya delivery kwa kuweza kuwapatia mahitaji kwa wakati ktk kipindi cha karantini ya

18/12/2020

Jinsi Lufthansa imejipanga kusafirisha dozi milioni 10 ya ya chanjo ya covid19 kwa siku. Mataifa mbalimbali kote ulimwenguni yameanza kuidhinisha chanjo hiyo ambayo matarajio yake yamevunja rekodi kwa karne ya 21.

Pamoja na matarajio na changamoto za kufanikisha upatikanaji wake inaonekana bado kuna kazi kubwa inayohitaji kufanywa ili kuifikisha chanjo hiyo kwa watu bilioni 8 ulimwenguni kote.

Kazi ya usambazaji haitakuwa rahisi k**a inavyofikiriwa hasa kutokana na ukizingatia chanjo hiyo inahitaji kuhifadhiwa kwenye mazingira maalumu ikiwemo udhibiti wa hali ya hewa pamoja na vifaa maalumu vya kuhifadhi.

Changamoto nyingine ni kuweza kuifikisha sehemu mbalimbali za ulimwengu ambazo zina ugumu wa kufikika.

Mashirika mbalimbali ya Ndege na Usafirishaji mizigo yanajipanga kukabiliana na changamoto hizo kwa kuwekeza kwenye vifaa vitakavyowezesha kufikisha kwa wakati na usalama chanjo hiyo ili kukabiliana na ugonjwa ambao umeshaua watu takribani 3m ulimwenguni kote na wengine mamilioni wakiendelea kuugua

Kuna upungufu mkubwa wa nafasi na kupungua kwa uwezo wa usafirishaji ulimwenguni kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya watu, mamilioni ya watu wanategemea huduma za usafirishaji na ufikishaji kupata mahitaji yao ya kila siku kutokana na watu wengi kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo na kuamua kubakia majumbani mwao.

Mashirika makubwa ya usafirishaji yanalazimika kuongeza ndege za mizigo kwa ukubwa tofauti ili kukabiliana na ongezeko la mahitaji.

Na hayo yote yanapaswa kutokea wakati wa msimu wa likizo wa 2020 unapoanza ambao kwa kawaida huwa ni msimu unaokuwa na ongezeko kubwa la huduma za usafirishaji vifurushi

Sekta ya usafirishaji vifurushi na mizigo tayari imezidiwa mwaka huu kutokana na ongezeko kubwa la watu wanaonunua kutoka nyumbani, hali inayosababisha kuongezeka kwa usafirishaji na vifurushi vya kuchelewa.

Kwa makampuni ya usafirishaji duniani kote fursa zimeongezeka na zinatarajiwa kuendelea kuongezeka mpaka mwaka 2025 huku kukiwa na mchuano mkali wa makampuni makubwa kugombea na kujijengea himaya ya mapato makubwa yatokanayo na huduma za usafirishaji ambapo bidhaa zinazoongoza ni chanjo, vifurushi vya Amazon, fanicha, magari, na mizigo mingine.

Lufthansa Cargo ni moja ya makampuni yanajipanga kushikilia nafasi ktk usafirishaji chanjo na bidhaa nyingine, hivi karibuni ilifanya maboresho ya vituo vyake vya usambazaji ili kuweza kushughulikia idadi kubwa ya usafirishaji wa dawa.

Tizama video kuona jinsi timu hiyo inavyojiandaa kusafirisha idadi ya chanjo milioni 10 kwa siku.


16/11/2020

With a page, you can build an active audience who is excited about your business.

Twenty-three logistics startups secured investment, up 91.7 per cent on 2018 numbers, which in turn were an increase of ...
30/10/2020

Twenty-three logistics startups secured investment, up 91.7 per cent on 2018 numbers, which in turn were an increase of 140 per cent on the year before. Total funding increased by 264.6 per cent to US$69,627,000, with logistics startups securing the biggest share of investment by any sector bar fintech. Total annual funding in this sector has been growing at hugely impressive rates, jumping an astonishing 6,746 per cent since 2016.

The African logistics sector is on an upward trajectory as startups in the sector secure growing amounts of funding as the potential for the space to power a commerce revolution on the continent becomes clearer and clearer. According to the latest edition of the African Tech Startups Funding Report....

African logistics startups are part of a β€œthird wave” of Africa’s tech revolution that is attracting investors because o...
30/10/2020

African logistics startups are part of a β€œthird wave” of Africa’s tech revolution that is attracting investors because of its access to high profile customers, clear paths to profitability, and expert founders.

.5

African logistics startups are part of a β€œthird wave” of Africa’s tech revolution that is attracting investors because of its access to high profile customers, clear paths to profitability, and expert founders. Logistics as a sector is on the rise in Africa, with startups across the continent ...

"Patience in the face of this tragedy will be a golden page in Lebanon’s honor,” Ayatollah Khamenei πŸ™ πŸ‡±πŸ‡§ πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±...
06/08/2020

"Patience in the face of this tragedy will be a golden page in Lebanon’s honor,” Ayatollah Khamenei πŸ™ πŸ‡±πŸ‡§ πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§πŸ‡±πŸ‡§ πŸ‡±πŸ‡§ https://instagr.am/p/CDj5strnfXI/

Address

Bibi Titi Mohammed Street
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 05:30 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00
Sunday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00

Telephone

+255752997575

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NitumeChap posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NitumeChap:

Share

About Us

The Intro

NitumeChap is Local Service design with World-Class Aggregate Supply Chain and Logistic Company that will make available a wide range of Service and Products as it echoes with our Mission and relates to the services offering in Global Aggregate Supply Chain and Logistic industry at easy timely and value benefit for our Clients in East and Central Africa, connect with other location in the world where we intended to operating from.

Company details

Legal: registered Company as Nitume General Supply Co Ltd