Kuboja Time

Kuboja Time KUBOJA TIME inauza mawazo, falsafa, ujuzi wa kijasiriamali na tunatoa mafunzo pamoja seminar za ukuzaji wa malengo, mawazo na uboreshaji wa biashara.

*TANZIA* Nimepokea taarifa kutoka kwa Baba yangu huko Mwanza.*MAMA YANGU MZAZI AMELALA.*Alidondoka asubuhi, akapoteza fa...
25/04/2026

*TANZIA*

Nimepokea taarifa kutoka kwa Baba yangu huko Mwanza.

*MAMA YANGU MZAZI AMELALA.*

Alidondoka asubuhi, akapoteza fahamu, akapelekwa na Baba pamoja na wengine Pasians Hospital, waka-comfirm alishalala.

Ufunuo wa Yohana 21:3,4
*_³ Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao._*
*_⁴ Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita._*

```MNITEGEMEZE KWA MAOMBI```

26/01/2026

Address

Tegeta
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255656340320

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuboja Time posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kuboja Time:

Shortcuts

Share

Category