Hakika Times

Hakika Times Sisi ni chanzo chako cha uhakika cha kupata habari mpya leo, uchambuzi wa kina,

Karibu kwenye Hakika Times, jukwaa la kisasa la habari za kuaminika Tanzania na duniani, linalojikita katika kutoa taarifa sahihi, za ukweli, na zilizothibitishwa kwa wakati. For the stories that matter to you... Local & International News | Politics | Celebrity | Interview |

MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMJULIA HALI MZEE YUSUPH MAKAMBA.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Baloz...
11/05/2026

MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMJULIA HALI MZEE YUSUPH MAKAMBA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mzee Yusuph Makamba katika makazi yake Tegeta Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Mei 2026.

SOMA ZAIDI: https://hakikatimes.com/makamu-wa-rais-dkt-nchimbi-amjulia-hali-mzee-yusuph-makamba/

DKT. MWIGULU ​​KUMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MKUTANO WA USHIRIKIANO AFRIKA NA UFARANSA, NCHINI KENYA.WAZIRI MKUU, Dkt. M...
11/05/2026

DKT. MWIGULU ​​KUMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MKUTANO WA USHIRIKIANO AFRIKA NA UFARANSA, NCHINI KENYA.

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Mei 10, 2026 ameondoka nchini kuelekea Nairobi, Kenya ambamo anatarajia kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Ushirikiano wa Afrika na Ufaransa (Africa Forward: Africa–France Partnership for Innovation and Growth Summit) itakayofanyika Mei 11–12, 2026.

Example 300x600
la mkutano huo ni kuendelea kuimarisha kati ya Afrika na kuanzisha sekta mbalimbali za biashara, teknolojia, afya, Akili Unde (AI), kilimo, uchumi wa buluu pamoja na viwanda.

SOMA ZAIDI: https://hakikatimes.com/dkt-mwigulu-kumuwakilisha-rais-dkt-samia-mkutano-wa-ushirikiano-afrika-na-ufaransa-nchini-kenya/

SERIKALI YAKABIDHI MITAJI KWA VIJANA 47 WA BBT- UVUVI KAGERA.Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Erasto Sima ambay...
11/05/2026

SERIKALI YAKABIDHI MITAJI KWA VIJANA 47 WA BBT- UVUVI KAGERA.

Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Erasto Sima ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, amesema Serikali itaendelea kuwawezesha vijana kupitia Sekta ya Uchumi ili kupata changamoto ya ajira nchini.

Example 300x600
Mhe. Sima amesema hayo Mei 9, 2026 katika hafla ya kukabidhi mitaji kwa njia ya mikopo yenye masharti nafuu kwa vijana 47 walionufaika na Programu ya Jenga Kesho Iliyobora (BBT–Uvuvi) iliyofanyika Katika Mwalo wa Bilolo Kemondo Bukoba.

“Programu hii inalenga kutoa mafunzo kwa vitendo pamoja na mitaji ili kuwezesha vijana kujiajiri na kuwa katika Sekta ya Uvuvi,” amesema Mhe. Sima

Aidha, Mhe. Sima amesema kuwa hafla hiyo ni mwendelezo wa ugawaji wa mitaji uliozinduliwa Machi 7, 2026 katika eneo la FETA Nyegezi mkoani Mwanza, ambapo vijana 55 walikabidhiwa pembejeo mbalimbali za ufugaji wa samaki kwa vizimba.

SOMA ZAIDI: https://hakikatimes.com/serikali-yakabidhi-mitaji-kwa-vijana-47-wa-bbt-uvuvi-kagera/

JESSE DERRY APUNGUZA HOFU CHELSEA.Licha ya Chelsea kukubali kichapo cha mabao 3-1, habari njema ni kwamba kijana huyo am...
06/05/2026

JESSE DERRY APUNGUZA HOFU CHELSEA.

Licha ya Chelsea kukubali kichapo cha mabao 3-1, habari njema ni kwamba kijana huyo amepata nafuu na kuwasiliana na mashabiki kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Derry ametuma ujumbe akiwa bado wagonjwa wa hospitali ambao wameambatana na picha zake akiwa uwanjani ambapo ameandika: “Ni ndoto iliyotimia kuanza kwa mchezo Stamford Bridge kwa mara ya kwanza kwenye mechi ya EPL.
Wachezaji wenzake k**a Marc Cucurella na Josh Acheampong, pamoja na Zach Abbott (aliyehusika kwenye mgongano huo), wamemtumia ujumbe wa kumtakia heri na kupona haraka.

SOMA ZAIDI: https://hakikatimes.com/jesse-derry-apunguza-hofu-chelsea/

KMC KUBEBA KAZI NZITO, YANGA YAJA NA NIA YA KUANGAMIZA.USHINDI ndio kauli kuu ya Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Gonçalves, k...
06/05/2026

KMC KUBEBA KAZI NZITO, YANGA YAJA NA NIA YA KUANGAMIZA.

USHINDI ndio kauli kuu ya Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Gonçalves, kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya KMC FC itakayopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge.
Kocha huyo amesema kikosi chake kimejipanga kinaendelea na mwendo wake wa ushindi katika ligi.

Pedro ameweka wazi kuwa lengo kubwa la Yanga ni kushinda kila mchezo bila kujali jina la mpinzani.
Amesisitiza kuwa kila mechi kwa sasa ni fainali, hivyo wanatakiwa kuingia uwanjani wakiwa na mtazamo wa hali ya juu kutimiza malengo yao ya ubingwa.
Akizungumzia wapinzani wao KMC FC, Pedro amesema anaifahamu hali yao kwenye msimamo wa ligi ambapo wanashika mkia wakiwa na alama tisa pekee, lakini hilo halimaanishi kuwa ni mechi rahisi.

SOMA ZAIDI https://hakikatimes.com/kmc-kubeba-kazi-nzito-yanga-yaja-na-nia-ya-kuangamiza/

KUFANYA KAZI KWA BIDI NDIO UFUNGUO WA MAISHA, DROGBA.Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City ilipata mualiko wa kuhudhuria u...
06/05/2026

KUFANYA KAZI KWA BIDI NDIO UFUNGUO WA MAISHA, DROGBA.

Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City ilipata mualiko wa kuhudhuria uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jana katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda aliomba Sh525.32 bilioni hizo kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo kwa wa fedha 2026/27 kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele tisa.
kufanya kazi vipaumbele hivyo ni kukamilisha ujenzi, uboreshaji na kuboresha waboresha, kukamilisha maandalizi ya AFCON 2027, pamoja na maandalizi ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya 74 ya Urembo ya Dunia (Miss World).

SOMA ZAIDI https://hakikatimes.com/kufanya-kazi-kwa-bidi-ndio-ufunguo-wa-maisha-drogba/

DC Magoti atangaza biashara ya Kisarawe.MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ametangaza operesheni kali dhidi ya wa...
06/05/2026

DC Magoti atangaza biashara ya Kisarawe.

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ametangaza operesheni kali dhidi ya wanaojihusisha na uvujaji wa wilayani humo na kumwagiza Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Aidan Kitare, kuivunja k**ati ya madiwani husika na suala la kuondolewa.

Aidha ametoa onya kali kwa baadhi ya madiwani watakaojaribu kulalamika baada ya kuondolewa au jamaa kuondolewa katika k**ati hiyo kutokana na kubainika kushiriki katika kuhujumu mada.
SOMA ZAIDI https://hakikatimes.com/jesse-derry-apunguza-hofu-chelsea/

RUTO: UJIRANI WA TANZANIA NA KENYA NI WA ASILI, WA KIHISTORIA NA MISINGI YA MSHAKAMANO IMARA AFRIKA MASHARIKI.Rais wa Ke...
06/05/2026

RUTO: UJIRANI WA TANZANIA NA KENYA NI WA ASILI, WA KIHISTORIA NA MISINGI YA MSHAKAMANO IMARA AFRIKA MASHARIKI.

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na Kenya bali ni wa thamani na historia, uliosimikwa katika misingi ya ujirani wa moja kwa moja, udugu wa kitamaduni na lugha inayowaunganisha wananchi wa mataifa hayo mawili ya Afrika Mashariki.

Akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo, Rais Ruto alieleza mahusiano kati ya hizo mbili hayawezi kupimwa kwa jicho la pekee kisiasa, bali yanafaa kueleweka k**a uhusiano wa asili uliowekwa na historia na maisha ya kila siku ya wananchi mpakani.

Alisisitiza kuwa Tanzania na Kenya ni majirani wa kudumu waliounganishwa na jiografia na pia uhusiano wa unaovuka mipaka ya kisiasa, jambo ambalo linapaswa kulindwa na kuendelezwa kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.

SOMA ZAIDI:
https://hakikatimes.com/ruto-ujirani-wa-tanzania-na-kenya-ni-wa-asili-wa-kihistoria-na-misingi-ya-mshak**ano-imara-afrika-mashariki/

REA YAWEZESHA VIKOSI VYA JKT KUKUZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI,Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi M...
06/05/2026

REA YAWEZESHA VIKOSI VYA JKT KUKUZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI,

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu ametoa wito kwa vikosi vya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) vilivyopata miradi ya nishati safi ya kupikia kuweka mabalozi wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa jamii zinazowazunguka.

Example 300x600
Mwenyekiti Kingu ametoa wito huo Mei 5, 2026 wakati wa ziara ya Bodi hiyo iliyolenga kutekeleza miradi ya nishati safi ya kusoma inaayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Kambi ya JKT ya Maramba mkoani Tanga.

Aidha, amesisitiza vijana wanaliopo kwenye kambi hizo za JKT kupatiwa mafunzo ya namna ya kutengeneza mkaa mbadala ili waweze kutumia ujuzi huo kujiajiri na kuwa mawakala wa kutengeneza mkaa wakati watakapomaliza mafunzo yao.

SOMA ZAIDI: https://hakikatimes.com/rea-yawezesha-vikosi-vya-jkt-kukuza-matumizi-ya-nishati-safi/

01/05/2026

IPYG Yaendesha Programu Jumuishi ya Amani na Usalama Tanzania kwa Kushirikisha Vijana

KUNDI la Kimataifa la Vijana wa Amani (IPYG) limeendesha programu ya amani na usalama katika eneo la Mwenge, jijini Dar es Salaam, Aprili 2026, chini ya kaulimbiu “Elimisha Amani, Hakikisha Usalama: Ibara ya 10 ya DPCW.” Mpango huo uliunganisha shughuli za uhifadhi wa mazingira na mafunzo ya vitendo vya usalama, ukiwa na lengo la utamaduni wa amani sambamba na kuimarisha ustahimilivu wa jamii.

Example 300x600
Azimio la Amani na Kusitishwa kwa Vita (DPCW) ni mfumo wa kimataifa unaobainisha misingi ya kumaliza vita na amani iliyopo, ambapo Ibara ya 10 inasisitiza umuhimu wa kueneza utamaduni wa amani.

K**a sehemu ya programu hiyo, zoezi kubwa la plogging lilifanyika katika Makutano ya Mwenge na Kituo cha Kipya cha Mabasi cha Mwenge. Zaidi ya vijana 300 pamoja na wakazi wa eneo hilo walishiriki kukusanya na kuchambua taka, hatua iliyochangia kuboresha mazingira ya eneo hilo.

Soma zaidi: https://hakikatimes.com/ipyg-yaendesha-programu-jumuishi-ya-amani-na-usalama-tanzania-kwa-kushirikisha-vijana/

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hakika Times posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share