Tanzania Railways Corporation

Tanzania Railways Corporation Tanzania Railways Corporation(TRC) is a state corporation created with the core mandate of providing Ukurasa rasmi wa Facebook wa Shirika la Reli Tanzania.
(2)

Shirika linalotoa huduma ya Usafiri wa abiria na mizigo na kusimamia miundombinu ya Reli Tanzania.

10/06/2026
10/06/2026
05/06/2026

TRC YATOA ELIMU YA MAZINGIRA KWA WADAU MBALIMBALI

TAARIFA KWA UMMA.
04/06/2026

TAARIFA KWA UMMA.

29/05/2026



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inafanya jitihada mbalimbali kupambana na uchafuzi wa mazingira kwa kuzuia uzalishaji wa moshi (emissions)

Miongoni mwa jitihada hizo ni ukamilishaji wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) ambayo itapunguza kwa kiasi kikubwa uzalishaji moshi.

Dkt. Mwigulu ameongeza, ukisasa wa reli hiyo ni wakupigiwa mfano akieleza kuwa hata wageni kutoka Benki ya Dunia na IMF walipokuja Tanzania na kujionea reli hiyo walisema kuwa ukisasa wake labda hata kwao ulaya (Europe) haupo.

Ameyasema hayo leo Mei 28, 2026, katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

29/05/2026

Wanafunzi hawa wako zaidi ya 200, wanasafiri pamoja kati ya Morogoro na Dar Es Salaam, kwa kawaida ndege ya Boeing 757-200 huwa inachukua abiria 200, Je wangesafiri na ndege wangelipa kiasi gani? wangesafiri na basi la YUTONG linalobeba abiria 60, ina maana wangepanda mabasi 3 na coaster moja, faida ni nyingi za uwekezaji wa Serikali katika mradi huu.

Hassle-free travel...Safari rahisi na yenye utulivu.!
28/05/2026

Hassle-free travel...Safari rahisi na yenye utulivu.!

Address

Railway Street
Dar Es Salaam
P.OBOX76959

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30
Saturday 08:00 - 12:30

Telephone

+255800110042

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Railways Corporation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Railways Corporation:

Share