17/10/2025
π Marekani si mbali tena!
Biashara yako sasa inaweza kuvuka mipaka kwa urahisi, kwa usalama, na kwa kasi ya kimataifa ππΌ
Tunafanya Import kutoka USA kuja Tanzania na Kenya,
na Export kutoka Afrika kwenda Marekani β
kwa Biashara aina zote iwe asali π, kahawa β, korosho π°, dagaa π, hadi bidhaa za matumizi binafsi.
Kila mzigo unaosafiri nasi unafika salama, kwa wakati, na kwa ufuatiliaji wa kitaalamu.
Tunatumia anga βοΈ na bahari π’ kuhakikisha unapata huduma bora kuliko zote.
π Wasiliana nasi leo kwa +1 (571) 283-5409, 0757 542 562, 0744 90 25 45 na +14254765453
au tembelea ofisi zetu Seattle - Washington ,Dar es Salaam, na Nairobi.
π AVO Global Logistics β Tunaisogeza Marekani karibu yako! πͺβ¨