Ni2me Tunapokea na kusafirisha Mizigo na Vifurushi

Ukinizingua? 😳Na mimi naku............ πŸ‘‡
22/04/2022

Ukinizingua? 😳

Na mimi naku............ πŸ‘‡

Hi πŸ‘‹Ni muda mrefu kidogo hatujapeana update, hii ni maalumu kwenu, watu wangu. Mnakumbuka harakati zangu nilizoanza muda...
21/04/2022

Hi πŸ‘‹

Ni muda mrefu kidogo hatujapeana update, hii ni maalumu kwenu, watu wangu. Mnakumbuka harakati zangu nilizoanza muda mrefu sasa za kuwa majasiria maliπŸ˜‚ N

Niseme wazi halikuwa jambo rahisi sana lakini nashukuru Mungu kwa hapa nilipofikia, leo hii sina nia ya kueleza safari yangu hiyo bali kuwaeleza kuwa k**a mtaona mabadiliko ya jina kwenye page hiii msishtuke mjue tu ni katika maboresho na harakati hizo mpya.

Siku za usoni nitakuja kuwaeleza mapitio ya safari yaliyonifikisha hapa nilipo leo na mtapata nafasi ya kujua wapi nilipotoka na ninapokwenda.

Pia nitoe pongezi kwa kaka zangu wa ukweli NitumeChap kwa ushirikiano na msaada wa hali na mali kuhakikisha hili linafanikiwa.

πŸ™πŸ‘‹

Until next time

πŸ‘‹πŸ‘‹
17/04/2022

πŸ‘‹πŸ‘‹

HeyπŸ‘‹Kuna matunda ya aina ngapi kwenye hii picha? Tutajie yapi umeyafahamu na jina lake?
02/10/2021

HeyπŸ‘‹
Kuna matunda ya aina ngapi kwenye hii picha? Tutajie yapi umeyafahamu na jina lake?

HeyπŸ‘‹ Pasaka iko aje?
04/04/2021

HeyπŸ‘‹ Pasaka iko aje?

The single most important dietary change you can make is to eat more greens and vegetables. Aim to eat at least 40% of your diet from vegetables.

hakikisha unakula asilimia 40% ya mlo wako kwa siku utokane na na !

Changamoto kubwa inawakabili watu wengi hivyi sasa ni unene wa ziada na kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na wizaraafyaTz kati ya watu 4/1 ana tatizo la

Mitandao ya kijamii hivyi sasa imejaa wataalamu mbalimbali wanaotoa elimu za lishe bora, hii ni dalili tosha ya tatizo kuwa kubwa na mhitaji ya njia mbadala!

NitumeChapp tumejipanga kukuhudumia, k**a unahitaji kupanga mlo wako kwa siku wiki au mwezi wasiliana nasi tujadili pamoja namna tutashirikiana uweze kufikia lengo lango

πŸ‘πŸ‘Thanks you GuysπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ›’πŸ›’  we mean business πŸ’―
08/12/2020

πŸ‘πŸ‘Thanks you GuysπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ›’πŸ›’

we mean business πŸ’―


Watu wanachemka fastaπŸ™πŸ™πŸ’―πŸ”₯ Asanteni sana wadau mliotoa order zenu! Naambiwa bado mzigo upo wale mnaoulizia! Popote Mzigo ...
30/11/2020

Watu wanachemka fastaπŸ™πŸ™πŸ’―πŸ”₯ Asanteni sana wadau mliotoa order zenu! Naambiwa bado mzigo upo wale mnaoulizia! Popote Mzigo unafikishwa Kw usalama na Utulivu huku bidhaa zikiwa salama

Unachagua popote ulipo! Tunakufungia na kukuletea pale ulipoπŸ›’πŸ’―
28/11/2020

Unachagua popote ulipo! Tunakufungia na kukuletea pale ulipoπŸ›’πŸ’―

Ukiwa popote unaweza kuagiza hizi bidhaa na nyingine kibao na ukaletewa ulipo kwa bei ya jumla na rejereja zinapatikana ...
28/11/2020

Ukiwa popote unaweza kuagiza hizi bidhaa na nyingine kibao na ukaletewa ulipo kwa bei ya jumla na rejereja zinapatikana

we mean business πŸ’―

HiπŸ‘‹MALI MPYA! Msimu wa shopping πŸ›’ ndio huu wengi wenu bado mnafikiri kuja   au   mambo yamebadilika siku hizi kuna watu ...
28/11/2020

HiπŸ‘‹
MALI MPYA! Msimu wa shopping πŸ›’ ndio huu wengi wenu bado mnafikiri kuja au mambo yamebadilika siku hizi kuna watu tena kampuni zilizosajiliwa kabisa unachagua bidhaa wenyewe wanafuata wanakukagulia kisha wewe unafanya malipo wanachukua mzigo, wanafunga, wanasafirisha, wanakuletea mpaka mlangoni kazi yako ni kutafuta wateja na kuuza zile gharama za kusafiri, usumbufu wa kuzunguka madukani, kuhangaika njiani unakuwa umeepuka na pia ume save pesa faida mara dufu! Changamka sasa wasiliana nao kwa kutembelea Page yao πŸ‘‡

https://www.facebook.com/nitumechapu/

06/09/2020

Hi πŸ‘‹ mambo zenu!
Nina mambo nataka ku share nanyi hapa kwa wale ambao walishiriki ule mchakato wa nafasi za ajira hivyi karibuni kwenye ukurasa huu.

Habari njema ni kuwa wapo waliofanikiwa kupata ajira na tayari wameanza kazi, kwangu mimi hili ni jambo kubwa na lenye maana zaidi kuliko chochote ni jambo lililoniinua na kujaza upendo na utulivu ndani ya nafsi yangu, ni jambo linalo nipa faraja ya kutambua kile ambacho nimeweka kufanya kwa jamii yangu na kwa hili nawashukuru wote walioshiriki na pia nawashukuru uongozi na wafanyakazi wote wa NitumeChapp kwa kunipa nafasi ya kutangaza, kushirikiana nao kwenye mchakato huo mwanzo mpaka hapa tulipofika ambapo ni hatua ya kwanza. K**a mambo yataenda vzr mipango iliyopo tutaenda kwenye awamu ya pili ambayo ni maalumu kwa watu wa mikoani, wale wanafuatilia page hii wanafahamu juu ya awamu hii na tayari nilishawambia jinsi ya kushiriki angalia post zilizopita.

Address

Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 10:00 - 13:00
18:00 - 19:00
Sunday 10:00 - 13:00
18:00 - 19:00

Telephone

+255752997575

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ni2me posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ni2me:

Share