Regional Aviation College Tanzania

Regional Aviation College Tanzania Regional Aviation College (RAC) aims at providing candidates skills, knowledge and experience necess

Regional Aviation College inakaribisha maombi ya kujiunga na Aircraft Maintenance Course.πŸ”Ή Jifunze kutoka kwa wakufunzi ...
04/06/2026

Regional Aviation College inakaribisha maombi ya kujiunga na Aircraft Maintenance Course.

πŸ”Ή Jifunze kutoka kwa wakufunzi wenye uzoefu
πŸ”Ή Pata mafunzo ya vitendo yanayokidhi viwango vya sekta ya anga
πŸ”Ή Jiandae kwa ajira zenye ushindani ndani na nje ya Tanzania

πŸ“… Admissions Begin: 28th May 2026
πŸ“… Admissions End: 10th July 2026

πŸ“ž Contact Us: +255 677 023 553

πŸš€ Shape the Future of Aviation – Join the Elite Ranks of Aviation Professionals.

AircraftEngineer AviationStudents FutureAviators AviationLife TanzaniaEducation ApplyNow AviationProfessional

03/06/2026

Welcome to the world of DISPATCHERS . We are



30/05/2026

Aircraft Maintenance Engineering siyo tu kozi, ni safari ya kujenga taaluma inayohakikisha usalama wa kila safari ya ndege.”

Katika ushuhuda huu, mwanafunzi wa Aircraft Maintenance Engineering anashiriki uzoefu wake wa kujifunza, ujuzi anaoupata na jinsi mafunzo yanavyomuandaa kuwa mtaalamu wa matengenezo ya ndege.

Kutoka darasani hadi kwenye tasnia ya aviation, kila somo ni hatua kuelekea mafanikio.

AviationCareer RAC

πŸŒ™βœ¨ Eid Al-Adha Mubarak βœ¨πŸŒ™Tunawatakia heri ya Eid Al-Adha iliyojaa amani, furaha, upendo na baraka tele kwa familia na wa...
27/05/2026

πŸŒ™βœ¨ Eid Al-Adha Mubarak βœ¨πŸŒ™

Tunawatakia heri ya Eid Al-Adha iliyojaa amani, furaha, upendo na baraka tele kwa familia na wapendwa wenu. 🀍
Sikukuu hii iwe chanzo cha mshikamano, imani na matumaini mapya ya maisha bora zaidi.

πŸ•ŒπŸ’™
Regional Aviation & Business College
Educating Today, Inspiring Tomorrow

InspiringTomorrow Excellence Integrity Innovation Empowerment

Aviators πŸ’ͺWe are
26/05/2026

Aviators πŸ’ͺ
We are

26/05/2026



wanafunzi wa Feza Boys Secondary School walipata fursa ya kufanya ziara ya kimasomo katika Julius Nyerere International Airport, ziara iliyofadhiliwa na Regional Aviation College kwa lengo la kuongeza uelewa wa masuala ya anga pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya chuo na shule.
Safari hii imewapa wanafunzi nafasi ya kujifunza kwa vitendo kuhusu mazingira ya kazi katika sekta ya usafiri wa anga na kufungua dira mpya ya taaluma zao za baadaye. ✈️

JNIA DarEsSalaam

20/05/2026

Sikiliza ushuhuda wa mwanafunzi kutoka Regional Aviation College anayesoma kozi ya Flight Dispatch akielezea uzoefu wake wa mafunzo, mazingira ya kujifunzia na safari yake kuelekea kwenye taaluma ya aviation.

Your aviation journey can start here πŸŒπŸ“š
RAC

20/05/2026

Kutana na mmoja wa wanafunzi wetu akielezea experience yake ndani ya chuo cha regional Aviation college na jinsi anavyojiandaa kuwa sehemu ya aviation industry.

Karibu ujifunze nasi na uanze safari yako ya aviation leo.
DarEsSalaam AviationCareer

19/05/2026

We are


Address

77037
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 20:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255713077029

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Regional Aviation College Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Regional Aviation College Tanzania:

Share