Tumbo Air Cargo

Tumbo Air Cargo Flying cargo, delivering promise. We pride ourselves on delivering your cargo with efficiency and care, across the skies

Ukiwa una mzigo China au Dubai na unahitaji uje Tanzania kwa haraka usisite kutuchagua sisi, Tutakusafirishia mzigo wako...
31/08/2026

Ukiwa una mzigo China au Dubai na unahitaji uje Tanzania kwa haraka usisite kutuchagua sisi, Tutakusafirishia mzigo wako kwa haraka na gharama nafuu.

Karibu Tukuhudumie.

Tukiwa tunasheherekea sikukuu ya Nane Nane tunaendelea kupokea mizigo yako kwenye ofisi zetu za China na Dubai kwaajili ...
08/08/2026

Tukiwa tunasheherekea sikukuu ya Nane Nane tunaendelea kupokea mizigo yako kwenye ofisi zetu za China na Dubai kwaajili ya kukusafirishia kwa haraka kuja Tanzania.

Wasiiliana nasi sasa ili uweze kupata huduma bora ya haraka zaidi na gharama nafuu zaidi ya matarajio yako.

Karibu sana Tumbo Air Cargo tukuhudumie.

Unatamani kuagiza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu kutoka Dubai bila kuwa na wasiwasi wa usafirishaji?...
05/08/2026

Unatamani kuagiza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu kutoka Dubai bila kuwa na wasiwasi wa usafirishaji? Tumbo Air Cargo tumekurahisishia kazi!

Tumia App hizi bora kufanya manunuzi yako ukiwa Tanzania:

Amazon.ae – Vifaa vya kielektroniki, nguo na bidhaa za nyumbani.

Noon – App maarufu kwa punguzo la bei na bidhaa mbalimbali.

Carrefour UAE – Bidhaa za matumizi ya kila siku na vifaa vya nyumbani.

Namshi – Nguo, viatu na fasheni za kisasa.

Dragon Mart – Bidhaa za jumla kwa bei nafuu kabla ya usafirishaji.

Dubizzle – Ununuzi wa vitu mbalimbali kwa urahisi.

Jinsi ya Kuagiza:

Search bidhaa unazotaka kwenye App yoyote hapo juu.

Unapofika sehemu ya Shipping Address, weka address ya warehouse yetu ya Dubai:

Dubai Address: West Hotel, Naif Road, Opp. Naif Park, Deira-Dubai-UAE, Floor No. 01, Room No. 106.

Sisi tutapokea mzigo wako na kukusafirishia kwa haraka na kwa gharama nafuu hadi Tanzania! 🇹🇿

Wasiliana Nasi Sasa:

📞 Tanzania: +255 759 975 597 / +255 756 044 031

📱 WhatsApp Dubai: +971 568 439 244 | +255 672 490 038 | +255 742 667 204

Kwa huduma bora ya usafirishaji wa mizigo na vifurushi kwa wafanyabiashara na watu binafsi usisite kuwasiliana nasi.Usaf...
29/07/2026

Kwa huduma bora ya usafirishaji wa mizigo na vifurushi kwa wafanyabiashara na watu binafsi usisite kuwasiliana nasi.

Usafirishaji wa haraka, gharama nafuu, usalama wa mzigo wako ndio vipaumbele vyetu kwenye kukupatia huduma bora iliyo zaidi ya matarajio yako.

Karibu sasa tukuhudumie.

17/07/2026

Dubai Dubai Dubai K**a una mzigo Dubai na unahitaji uje Tanzania kwa haraka zaidi usipoteze muda, Wasiliana nasi tutakupa huduma bora zaidi ya matarajio yako.

Sio Dubai tu, Hata ukiwa na mzigo China utapata huduma bora na ya kipekee kutoka kwetu.

Karibu sana tukuhudumie🤝🏽


Kusafirisha bidhaa kutoka China au Dubai kuja Tanzania sasa imekuwa shughuli inayowatajirisha wafanyibiashara wengi Na h...
08/07/2026

Kusafirisha bidhaa kutoka China au Dubai kuja Tanzania sasa imekuwa shughuli inayowatajirisha wafanyibiashara wengi Na huwa hawataki kuwaambia wateja wao siri hiyo.

K**a una mzigo China au Dubai na unataka uje Tanzania kwa haraka au unatamani kuanza kusafirisha bidhaa zako moja kwa moja kutoka China kuja Tanzania usisite kuwasiliana nasi, Tutakupa utaratibu wote na namna bora ya kusafirisha bidhaa zako ili na wewe uanze kujivunia na biashara ya kimataifa.

Chimbo ni moja tu kwani tutakusafirishia bidhaa zako kwa gharama nafuu, usalama mkubwa na kwa haraka zaidi.

Karibu sana Tumbo Air Cargo Co LTD.

Kwa kuendelea kukupa huduma bora za usafirishaji tumezidi kuongeza matawi zaidi. Sio China tu sasa tunapatikana na Dubai...
03/07/2026

Kwa kuendelea kukupa huduma bora za usafirishaji tumezidi kuongeza matawi zaidi. Sio China tu sasa tunapatikana na Dubai.

K**a una mzigo Dubai au China na unahitaji kuusafirisha kuja Tanzania kwa haraka na salama kwa usafiri wa ndege usisite kuwasiliana nasi.

Mzigo kutoka China kuja Tanzania ni siku tatu hadi tano, Na Kutoka Dubai kuja Tanzania ni siku mbili tu.

Tuletee mzigo wako sasa tukusafirishie.

Wasiliana nasi;
Call/WhatsaApp: +255 759 975 597
+255 756 044 031

Ukifanikiwa kuulipia mzigo wako kwa supplier wako wa Dubai usisahau kumpatia address yetu hii. K**a ikiwa umeisahau tuta...
02/07/2026

Ukifanikiwa kuulipia mzigo wako kwa supplier wako wa Dubai usisahau kumpatia address yetu hii. K**a ikiwa umeisahau tutaarifu tutakutumia. Address yetu ya Dubai ni moja tu.

Karibu sana.


Tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungua rasmi warehouse zetu Dubai.Sasa hautasumbuka kuchanganya cargo Tutumie sisi kukusa...
02/07/2026

Tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungua rasmi warehouse zetu Dubai.

Sasa hautasumbuka kuchanganya cargo Tutumie sisi kukusafirishia mizigo yako yote kutoka China na Dubai unufaike na huduma bora kutoka kwetu.

Karibu sana Tumbo Air Cargo.

Unatafuta wakala wa uhakika wa kusafirisha mizigo yako kutoka China?Ondoa shaka! Tumbo Air Cargo tupo kwa ajili yako. Tu...
08/06/2026

Unatafuta wakala wa uhakika wa kusafirisha mizigo yako kutoka China?

Ondoa shaka! Tumbo Air Cargo tupo kwa ajili yako. Tunakuhakikishia usafirishaji wa haraka na salama kwa bei inayojali mfuko wako.

Karibu Tumbo Air Cargo tukuhudumie.

Wasiliana nasi sasa:
0759 975 597
0756 044 031

Address

Kariakoo, Muheza & Masasi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumbo Air Cargo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share