Afrimex Courier

Afrimex Courier Courier Services

Ndani ya Jiji la   sasa usafirishaji ni rahisi zaidi!Kwa kuanzia TZS 3000 tu, kifurushi au mzigo wako unamfikia mteja nd...
16/05/2026

Ndani ya Jiji la sasa usafirishaji ni rahisi zaidi!
Kwa kuanzia TZS 3000 tu, kifurushi au mzigo wako unamfikia mteja ndani ya dakika.

✅ Same Day Delivery
✅ Door to Door Delivery
✅ Parcels & Cargo Delivery
✅ Food & Medical Delivery
✅ Home & Office Delivery

📍 Dar es Salaam
📞 0696101010

17/04/2026

Ndani ya Jiji la sasa kwakuanzia TZS 3000 kifurshi na mzigo wako unamfikia mteja wako kwa sisi kukusafirishia ndani ya dakika chache. Wasiliana nasi: 0696101010

15/04/2026

Furaha City Delivery Kuanzia Shilling 3,000 za Kitanzania, unachotakiwa kufanya ni kukunua bidhaa yako na tuite 0696101010 tunakusafirishia Popote pale ndani ya Viunga Vya Dar Es Salaam.

Vigezo na Masharti kuzingatiwa

15/04/2026

Endless Delivery Ndani ya Dar Es Salaam na , nunua Bidhaa tuite Afrimex tukusafirishie 0696101010 🏍️.....

Pia tunapokea Oda za Kusafirishiwa bidhaa kutokea UAE Kuja Tanzania na Kenya.

Mawasiliano Yetu Kwa Tanzania 0696101010
Mawasiliano Yetu Kwa Kenya +2547114620000
Mawasiliano Yetu UAE +971585804341

NB: Kwa huduma ya Kuagiza/kutuma bidhaa nje ya Tanzania Delivery ni Kuanzia Masaa 48.....

14/04/2026

Tunaendelea kukupatia huduma iliyo Bora ya kusafirisha na kuagiza Mizigo Kutokea UAE Kuja Tanzania na Nchini Kenya, Vilevile huduma ya Kutuma mzigo Kutokea Tanzania, Kenya Kwenda UAE kwa gharama nafuu zaidi.

Bado haujachelewa fikisha mzigo wako kwa haraka zaidi, kwani Sisi ndiyo mabingwa wa Usafirishaji Nchini Tanzania.

Wasiliana na kitengo cha huduma Kwa wateja masaa 24...... 0696 101 010 (Kwa Tanzania), Vile vile tunatoa huduma kwa Wakazi wa Dar Es Salaam ya Delivery service kwa gharama nafuu zaidi .

NB: Nunua mzigo tuite 0696101010 (Dsm) Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

r

12/04/2026

Hatujapoaaaa 😍😍😍😍😍🇨🇳

Usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi unaendelea....
✔️ Door to door delivery 🚪
✔️ Tracking ya mzigo wako kila hatua
✔️ Bei nafuu na huduma bora

Pia tunafanya Delivery Ndani ya Dar Es Salaam kwa gharama nafuu zaidi .

📞 Wasiliana nasi sasa: 0696101010 Kwa Tanzania
Kwa Kenya +2547114620000
Dubai +971585804341

AFRIMEX COURIER – Tunakufikishia mzigo wako kwa wakati!

01/04/2026

Tuma maombi yako sasa kupitia WhatsApp: 0696101010

⏳ Mwisho wa kutuma maombi: 06/04/2026

👉 Share Kwa Marafiki zako

29/03/2026

Mzigo umefika salama Morogoro!

Tunajivunia kuendelea kutoa huduma ya uhakika na ya haraka popote Tanzania 🇹🇿
Asante kwa kuchagua Afrimex Courier – tunaendelea kufikisha kwa usalama na uaminifu mkubwa 🚚💨
📍 Morogoro ✔️

📲 Wasiliana nasi leo kwa namba

Tanzania 069 6101 010
Kenya +254 1174 620000
Dubai +9715 858 04341

FastDelivery CourierService BiasharaTanzania Usafirishaji Afrimex

23/03/2026

Tunakuletea huduma ya Express Delivery kwa gharama nafuu kabisa — kuanzia TSh 3,000 tu!

🛵 Timu yetu ya madereva ipo tayari kukuhudumia kila siku.

📍 Ndani ya Dar es Salaam
📞 Piga: 0696101010
💯 Haraka • Salama • Rahisi

NB: Vigezo na Masharti kuzingatiwa

Usafirishaji

Tunatoa huduma za usafirishaji wa mizigo kwa haraka na usalama kutoka na kwenda:🇦🇪 Dubai📞 +971585804341🇰🇪 Kenya📞 +254117...
10/03/2026

Tunatoa huduma za usafirishaji wa mizigo kwa haraka na usalama kutoka na kwenda:
🇦🇪 Dubai
📞 +971585804341

🇰🇪 Kenya
📞 +254117620000

🇹🇿 Tanzania
📞 +255696101010

📦 Air Freight
🚢 Sea Freight
🚚 Road Delivery

Afrimex – Endless Delivery.



Dubai Kenya Tanzania Cargo Delivery

08/03/2026

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani.

“haki na usawa kwa wanawake na wasichana; Msingi Jumuishi Kufikia Dira 2050"

Follow Us

Kwa Delivery Service tupigie 0696101010

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afrimex Courier posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afrimex Courier:

Share