08/03/2019
Katika kuhadhimisha siku ya wananwake duniani,kipekee zaidi tumeshirikiana na sunrise radio ya mjini Arusha kuwakumbuka wanawake kwa kutoa zawadi za Diapers (HQ baby Diapers)kwa watoto wadogo.Zoezi hili limefanyika mapema leo katika Hospitali ya Mount Meru Arusha..
Happy women’s day 2019.