Scania Tanzania

Scania Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Scania Tanzania, 8 Nyerere Road, P. O. Box 9324, Dar es Salaam.
(2)

Whether you are looking for a new truck, bus or coach for your business, we are here to deliver tailor made, fuel efficient and sustainable transport solutions that meet the unique needs of your business.

Tunawatakia Eid al-Adha njema. Mwenyezi Mungu awajalie amani, baraka na mafanikio katika safari zenu zote.Eid Mubarak πŸŒ™ ...
27/05/2026

Tunawatakia Eid al-Adha njema. Mwenyezi Mungu awajalie amani, baraka na mafanikio katika safari zenu zote.
Eid Mubarak πŸŒ™

Mbeya, Mwanza na Dodoma, Scania iko karibu kuliko unavyodhani. Pata vipuri orijino na huduma ya karakana kwa kupiga namb...
26/05/2026

Mbeya, Mwanza na Dodoma, Scania iko karibu kuliko unavyodhani.

Pata vipuri orijino na huduma ya karakana kwa kupiga namba zilizo hapo juu.

Safari inapokua ndefu, utendaji ndio jambo la muhimu zaidi.Scania imejengwa kwa shughuli za usafirishaji wa umbali mrefu...
25/05/2026

Safari inapokua ndefu, utendaji ndio jambo la muhimu zaidi.

Scania imejengwa kwa shughuli za usafirishaji wa umbali mrefu, ikikupa nguvu, ufanisi wa matumizi ya mafuta, na uaminifu unaoweza kutegemea kila siku, kilomita baada ya kilomita.

Fahamu zaidi kwa kupiga simu +255 784 722 000 au
🌐 Bofya https://www.scania.com/tz/en/home/admin/misc/showroom/trucks-showroom.html ama link kwenye Bio kujionea mwenyewe matoleo tuliyonayo!

Usiruhusu lori lako lizimike πŸš›Usikubali kufanya mzaha na breki zako. Air brakes, disc brakes, ABS, EBS na retarders ni m...
23/05/2026

Usiruhusu lori lako lizimike πŸš›

Usikubali kufanya mzaha na breki zako. Air brakes, disc brakes, ABS, EBS na retarders ni muhimu kukuweka salama na kudhibiti gari kila safari.

Kwa Scania Classic Package, unapata thamani kwenye vipuri, ufundi na vilainishi ili lori lako libaki imara, salama na la gharama nafuu πŸ”§

Tembelea karakana ya Scania au piga simu +255 784 722 000 kuulizia Kifurushi cha Classic au kupata bei.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Kila ruti ina changamoto zake.Je, unaweza kukisia ni ruti ipi ambayo Scania G410 litafika kwanza?
22/05/2026

Kila ruti ina changamoto zake.
Je, unaweza kukisia ni ruti ipi ambayo Scania G410 litafika kwanza?

Unatafuta msaada wa kuaminika bila kupoteza muda njiani? Huduma ya Scania vipuri orijino inapatikana Mbagala, Tabata, Tu...
20/05/2026

Unatafuta msaada wa kuaminika bila kupoteza muda njiani?

Huduma ya Scania vipuri orijino inapatikana Mbagala, Tabata, Tunduma, Iringa na Kahama.

Piga simu kwenye namba zilizo hapo juu kwa maelezo zaidi.

Hakikisha Scania yako inabaki salama, yenye ufanisi na ya kuaminika kwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kupata uten...
18/05/2026

Hakikisha Scania yako inabaki salama, yenye ufanisi na ya kuaminika kwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kupata utendaji bora wa gari.

Hii inakupa nafasi zaidi ya kuzingatia usafirishaji, wateja na kukuza biashara yako.

Tembelea karakana ya Scania au piga simu +255 784 722 000 kuulizia Kifurushi cha Huduma cha Classic au kupata bei.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Chemsha Bongo ya Leo πŸ§ πŸš›Lori linalobeba tani 5 za mawe πŸͺ¨ na linalobeba tani 5 za mchele 🌾Ni lipi lina uzito zaidi? πŸ€”Toa j...
08/05/2026

Chemsha Bongo ya Leo πŸ§ πŸš›
Lori linalobeba tani 5 za mawe πŸͺ¨ na linalobeba tani 5 za mchele 🌾
Ni lipi lina uzito zaidi? πŸ€”
Toa jibu lako na sababu πŸ‘‡πŸ”₯

Ili kupata ubora wa juu kutoka kwa gari au basi lako, linahitaji kutunzwa na wataalamu sahihi.Scania Arusha, gari lako l...
06/05/2026

Ili kupata ubora wa juu kutoka kwa gari au basi lako, linahitaji kutunzwa na wataalamu sahihi.

Scania Arusha, gari lako linapata huduma kamili, kuanzia uchunguzi hadi matengenezo makubwa. Kwa sababu uptime ya kweli inaanzia nyumbani.

πŸ“ Tembelea tawi la Scania Arusha au piga +255 685 722 006 kupata Huduma Mkataba.

πŸ’°πŸš› Vipuri feki vinakugharimu zaidi ya pesa.Katika kaunta rasmi za Scania za Mbagala, Tabata, Tunduma, Iringa, na Kahama,...
05/05/2026

πŸ’°πŸš› Vipuri feki vinakugharimu zaidi ya pesa.

Katika kaunta rasmi za Scania za Mbagala, Tabata, Tunduma, Iringa, na Kahama, unapata:

- Vipuri Orijino vilivyothibitishwa
- Ubora wa kiwandani
- Ufanisi sahihi kwa lori lako
- Upatikanaji wa haraka wa filters, mikanda, vilainishi

Karibu Nyumbani katika Karakana ya Scania karibu nawe au Tupigie +255 784 722 000 kupata Huduma Mkataba!

Address

8 Nyerere Road, P. O. Box 9324
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 16:30
Tuesday 07:30 - 16:30
Wednesday 07:00 - 16:30
Thursday 07:00 - 16:30
Friday 07:00 - 16:30
Saturday 08:00 - 14:00

Telephone

+255784722000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Scania Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share