Nomads Logistics

Nomads Logistics Nomads Logistics ni kampuni bingwa ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya DSM. Pia tunakusaidia kukata bima ya usafirishaji wa mzigo wako.

Tunasafirisha kwa njia ya barabara na anga, mzigo uwe mdogo au mkubwa zote tunazihudumia kwa usalama na umakini. Sisi ni biashara mashuhuri ya kusafirisha bidhaa mbali mbali ndani ya nchi. Tunatumia magari ya mizigo ya size tofauti kwaajili ya kusafirisha kutokana na matakwa ya mteja, ila pia tuna ubia na kampuni za ndege ambazo zinasafirisha mzigio yetu ya wateja wanaotaka kusafirisha kwa ndege. Mizigo yetu inachukuaga sio zaidi ya siku 3 kufika katika sehemu husika. Tunaota huduma pia ya packaging kwa wateja ambao wangependa kubidhaa zao ziwe na uimara katika safari. Tunatumia maboxi, mifuko ya plastiki, gundi na vifaa vingine kadhalika kuhakikisha mizigo inafungwa vzuri na salama. Tunakaribisha wateja wetu kujaribu huduma hizi kwasbabu wataona utofauti mkubwa kati yetu na wengine. Tunajiamini kua sisi ni biashara ambayo mteja akianza na sisi basi hawezi kutuacha.

Malume anauliza… ume-train au unategemea adrenaline ya siku yenyewe?Weka 🏃 k**a uko ready, 🍻 k**a unaenda vibes tu.     ...
20/03/2026

Malume anauliza… ume-train au unategemea adrenaline ya siku yenyewe?
Weka 🏃 k**a uko ready, 🍻 k**a unaenda vibes tu.

05/03/2026

Malume anauliza.. mkutano wa leo unaenda kinyonge au unaamua kuvimba??

26/02/2026

Malume… still sending your staff to the field in a car that fears gravel? 😭

Your projects deserve better. Our pickup trucks are built for real work — sites, safaris, rough roads, rain, sun, and everything Tanzania throws at you. No stress, no excuses, just dependable muscle on demand.

Whether it’s engineers, supervisors, NGO teams, or logistics crews… we’ve got the trucks that show up ready.

Because honestly Malume — deadlines don’t wait for breakdowns. 🚛💨

Get your fleet sorted today.
📞 +255 799 559 988
✉️ [email protected]
🌐 www.nomads.co.tz

*Nomads Executive Mobility — Trucks that work as hard as your team.*

Address

Tabata Baracuda
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 09:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 09:00 - 17:30
Friday 09:00 - 17:30
Saturday 08:00 - 15:30

Telephone

+255715144637

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nomads Logistics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nomads Logistics:

Shortcuts

Share