02/03/2026
" Jicho la mwewe.....Bao la Simba lilipaswa kusimama. Captain Nondo aliua offside, Mwalimu hakuwa offside. Clear goal. Simba imetawala kwa muda mwingi wa mchezo. Nini tatizo? Wide players wengi wa Simba wana talents sana lakini end product ina tatizo. Credit kwa dogo anaitwa heavyweight_dullah huwa anawafahamu wachezaji wa kigeni kabla hawajafika nchini aliwahi kuchambua hili.." ameandika Edoku Mwembe