07/06/2025
๐ Eid al-Adha Mubarak!
Kwa moyo wa upendo na shukrani, tunawatakia wateja wetu wote heri ya Eid al-Adha.
Asanteni kwa kuendelea kutuamini kusafirisha mizigo yenu kutoka Dubai hadi Tanzania kwa usalama na uaminifu.
๐ Uhuru Cargo - Mizigo Salama, Huduma Bora!