14/09/2026
π Uendeshaji Salama, Ufanisi na Umakini β Galco ICD 025 π₯
Leo tunakuletea Madam Neema Patrick, dereva wa forklift kutoka Galco Limited, akielezea kwa undani namna anavyotekeleza majukumu yake na jinsi shughuli za uendeshaji wa forklift zinavyofanyika katika mazingira ya kazi ya Galco.
Kwa kuzingatia usalama, umakini na ufanisi, kila zoezi la kubeba, kupakia, kupakua na kuhamisha mizigo linafanyika kwa kufuata taratibu sahihi za uendeshaji.