06/04/2026
Chatisha ni mfumo wa WhatsApp automation unaokusaidia kupata leads, kuwahudumia wateja 24/7, na kufunga mauzo kwa urahisi.
1. Chatisha ni mfumo wa WhatsApp automation unaokusaidia kupata na kukuza leads zako hadi kuwa wateja halisi. Unahifadhi na kupanga namba zote za wanao wasiliana nawe, hivyo hakuna mteja anayepotea.
2. Chatisha ni msaidizi wako wa muda wote (24/7) anayejibu maswali ya kawaida yanayojirudia ya wateja wako kiotomatiki—kama bei ya bidhaa, upatikanaji wa huduma, au faida watakazopata wakinunua. Hii inafanya biashara yako iwe active muda wote hata bila uwepo wako.
3. Inakusaidia kufuatilia wateja (follow-up) na kufunga mauzo (closing deals) kwa urahisi. Chatisha inaweza kukumbusha wateja kuhusu mazungumzo ya awali, miadi (appointments), au bidhaa walizokuwa wanahitaji—na kuwahamasisha kukamilisha manunuzi yao.
Www.chatisha.com