Truck Drivers In Tanzania

Truck Drivers In Tanzania Tunapenda kukaribisha wadau wa usafirishaji kuchangia katika page yetu kuhusu mikataba yetu ya ajira

29/09/2021
Which kind of this.....!
29/09/2021

Which kind of this.....!

19/06/2019

Tanzania ni nchi tuliyozaliwa na sasa tunaishi tanzania lakini serikali yetu inatusahau hasa katika sekta yetu ya usafirishaji hasa kwenye upande wa mikataba pamoja na stahiki zetu japo tunashuhudia mabadiliko katika leseni zetu yakijaribu kuungwa mkono na viongozi wetu yote kwa yote tunamshukuru rais wetu kwa kutuboreshea barabara pia tunaomba aelewe kuwa ajira zetu wengi wetu hatuna mikataba hata kuifanya serikali mapato mengi kupitia sekta hii. DHIDI YA MANENO #

03/11/2018

Hakika serikali imetutenga sana ajira zetu zimekuwa ni tatizo mfano dangote eti kazi milioni worldoil ukija na short uje na hela yao nahisi vijana tunapaswa kuwa wabunifu endapo huna fani ingine jaribu kuwa makini kwan maisha ni mapambano yasiyo jari huko mazingira gani tusikate tamaa na k**a kuna michongo tujulishane wadau wa sekta ya usafirishaji.

18/08/2018

wadau hakika tunahitajika kutambulika na serikali pia ajira yetu iheshemiwe je ni vipi tunaweza kufanikisha azma hii?

16/03/2018

My fellow members i would likely to advice our proffecional to make good performance and accuracy in the acts of road safety in our national so its a time to reduce road accedent., On behalf we must be carefully all time in the road., [email protected] #

16/12/2017

Kupitia uzoefu wako ukiwa unaendesha katika highway ni kero ipi ungependa ifanyiwe marekebisho kuelekea mwaka mpya ili tuanze mwaka 2018 kwa kuzingatia sheria za usalama barabarani?
-lubumbashi #
-kigali #
-goma #
-lusaka #

06/07/2017

wadau hii page inapenda kuwaomba kujiunga ili tuweze kubadilishana mawazo pia kutusaidia vijana kuwa katika mipango endelevu katika sekta ya usafirishaji na usambazaji wa huduma kwa jamii,Nawatakia kila la heri kufanya page yetu iwajibike kikamilifu,AHSANTENI.

11/06/2017

KATI YA NJIA HIZI IPI NI TATIZO KWAKO?
(a)kitonga
(b)sekenke
(c)chiweta
(d)k9
(e)senjele
(f)danger hill

Address

Banana
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Truck Drivers In Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Truck Drivers In Tanzania:

Share