23/03/2018
Tunashukuru Mungu kwa huyu Rais aliyetupati!! Mwanzo wa muhura huu alikuwa aeleweki, ila sasa tumemuelewa, ahsante kwa kurudisha Kazi zote ambazo Makampuni makubwa alikuwa wakizifanya wao pekeyao, Makampuni madogo yakiendelea kuteseka kwa kukosa kazi! Sasa mambo ni poa, vijana changamkieni fulsa hizo.