Toner Zone Africa

Toner Zone Africa TONER ZONE AFRICA
Tunauza Mashine za photocopy Aina zote Pamoja na Spare Part na Accessories zote kama vile: Wino nk. Darcity Printer Solution.

Konica Minolta,Xerox,Canon na nyinginezo Karibuni sana. Tunauza Photocopy Mashine aina zote pamoja na vifaa vyake vyote kama vile: wino na vingine vingi pamoja na kufanya matengenezo ya mashine tunao mafundi waliobobea. Huduma zetu ni nzuri sana tunajali na kuwa hudumia wateja wetu kutoka nchi zote za maziwa makuu kama vile: Comoro,Kenya,Msumbiji,Tanzania,Malawi na Uganda.

14/10/2025
Si ubora pekee ambao umezingatiwa lakini hata namna wino wetu umehifadhiwa ni vizuri na unaweza kukaa mda mrefu bila shi...
13/10/2025

Si ubora pekee ambao umezingatiwa lakini hata namna wino wetu umehifadhiwa ni vizuri na unaweza kukaa mda mrefu bila shida yoyote...

Tunapatikana:
Kijitonyama Dar es salaam
0793171770

SISI NI TONER ZONE AFRICA.Wauzaji wa wino original wa photocopy Machine wino wetu Umezingatia ubora wa hali ya juu kwa a...
12/09/2025

SISI NI TONER ZONE AFRICA.
Wauzaji wa wino original wa photocopy Machine wino wetu Umezingatia ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kazi zako Printing.
Nunua wino kwetu tukuzawadie Simu buree kabisa

OFISI ZETU ZIPO: DAR ES SALAAM KIJITONYAMA
WASILIANA NASI: 0793171770

12/09/2025

SISI NI TONER ZONE AFRICA.
Wauzaji wa wino original wa photocopy Machine wino wetu Umezingatia ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kazi zako za Printing.
Nunua wino kwetu tukuzawadie Simu buree kabisa pia tunatoa Ushauri na huduma ya service za mashine tunao mafundi waliobobea Katika fani hii.

OFISI ZETU ZIPO: DAR ES SALAAM KIJITONYAMA
WASILIANA NASI: 0793171770

𝗖𝗔𝗡𝗢𝗡 𝗜𝗥 𝟰𝟬𝟬𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗜𝗡𝗘 𝗬𝗔 𝗕𝗟𝗔𝗖𝗞/𝗪𝗛𝗜𝗧𝗘 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗜𝗙𝗔 𝗭𝗜𝗙𝗨𝗔𝗧𝗔𝗭𝗢 :✅𝗜𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂 𝗽𝗿𝗶𝗻𝘁 ✅𝗜𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂 𝘀𝗰𝗮𝗻✅𝗜𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗮...
27/02/2025

𝗖𝗔𝗡𝗢𝗡 𝗜𝗥 𝟰𝟬𝟬

𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗜𝗡𝗘 𝗬𝗔 𝗕𝗟𝗔𝗖𝗞/𝗪𝗛𝗜𝗧𝗘 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗜𝗙𝗔 𝗭𝗜𝗙𝗨𝗔𝗧𝗔𝗭𝗢 :

✅𝗜𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂 𝗽𝗿𝗶𝗻𝘁
✅𝗜𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂 𝘀𝗰𝗮𝗻
✅𝗜𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗮 𝗰𝗼𝗽𝘆 𝟰𝟬 𝗸𝘄𝗮 𝗱𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮
✅𝗶𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗴𝗲𝘂𝘇𝗮 𝗸𝗮𝗿𝗮𝘁𝗮𝘀𝗶
✅𝗶𝗻𝗮 𝗽𝗿𝗶𝗻𝘁 𝗸𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂
✅𝗶𝗻𝗮 𝘀𝗰𝗮𝗻 𝗸𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂
✅𝘂𝗯𝗼𝗿𝗮 𝘄𝗮 𝘂𝗰𝗵𝗮𝗽𝗶𝘀𝗵𝗮𝗷𝗶 𝗻𝗮𝗸𝗮𝗹𝗮 𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗺𝗶𝗮 𝟭𝟬𝟬
✅𝘄𝗶𝗻𝗼 𝟮𝟱𝟬𝟬𝟬 𝗸𝗶𝗹𝗼 𝗺𝗼𝗷𝗮
✅𝗶𝗱𝗮𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗮 𝗰𝗼𝗽𝘆 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗶𝗻𝗼 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗻𝗶 𝗸𝘂𝗿𝗮𝘀𝗮 (𝗽𝗮𝗴𝗲𝘀) 𝟮𝟮,𝟬𝟬𝟬𝟬
✅ 𝗻𝗶 𝗿𝗮𝗵𝗶𝘀𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗻𝗮 𝘀𝗽𝗲𝗮 𝘇𝗮𝗸𝗲 𝗻𝗶 𝗯𝗲𝗶 𝗻𝗮𝗳𝘂𝘂
✅ 𝗻𝗶 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗲 𝘀𝘁𝗮𝗵𝗶𝗺𝗶𝗹𝗶𝘃𝘂 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶 𝗻𝘇𝗶𝘁𝗼

= 𝗕𝗲𝗶 𝗻𝗶 𝐓𝐙𝐒 𝟏,𝟐𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎

𝗠𝗮𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗼 :- 𝗖𝗮𝗹𝗹/𝘁𝗲𝘅𝘁 :-
𝟬𝟲𝟴𝟰𝟲𝟰𝟯𝟬𝟳𝟱/𝟬𝟲𝟮𝟬𝟭𝟰𝟰𝟱𝟵𝟲

𝗠𝗜𝗞𝗢𝗔𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗡𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗔
𝗞𝗪𝗔 𝗚𝗛𝗔𝗥𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗠𝗧𝗘𝗝𝗔 📦🚛🚚

Hii ni Mashine ya Canon ir 400 ina uwezo wa Kutoa Copy 40 ndani ya dakika Moja lakini pia ina uwezo wa ku scan na ku pri...
18/11/2024

Hii ni Mashine ya Canon ir 400 ina uwezo wa Kutoa Copy 40 ndani ya dakika Moja lakini pia ina uwezo wa ku scan na ku print. Hii kwetu utaipata kwa Bei nafuu kabisa Tsh 1.2million tu.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Toner Zone Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Toner Zone Africa:

Share