Myrah the Princes

Myrah the Princes Tz Investment Co Ltd is company based in Tanzania Dar es salaam East Africa which basically based on transportation of goods and passengers.

05/06/2026

Safiri salama

03/06/2026
Na ipi
27/04/2026

Na ipi

10/03/2021

gf

10/09/2020

kwema humu ndani

10/09/2020

mambo

06/02/2017

Tunawatakia safari njema na asubuhi njema wateja wetu na fb fans kwa ujumla, kumbuka unaweza kufanya booking pia hapa hapa na ukapewa huduma iliyo bora.

03/02/2017

Tunawakumbuka na tunaendelea kuwapa kilicho bora yani huduma bora za usafirishaji. Tuwatakieni safari njema kwa Abiria wetu wote na Siku njema kwa wapendwa wote mnaoendelea kufurahia huduma zetu.

20/08/2016

Habari za jioni wateja wetu wote, tunapenda kuwatangazia kuwa kwa sasa tumeanzisha ruti yetu mpya kabisa ya Dar- Musoma. Karibuni sana. Kwa mawasiliano ya booking kwa DSM no. 0652 669 292.
Musoma 0717219775

01/06/2016

Abiria na wateja wetu wote tunawatakieni jioni njema. Asante

Address

MOROGORO Road, UBUNGO BUS TERMINAL, FIRST FLOOR
Dar Es Salaam
PO.BOX.DARESSALAAM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Myrah the Princes posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share