Ant-Poverty and Environmental Care Organization(APEC)

Ant-Poverty  and  Environmental  Care  Organization(APEC) OUR THEME: Cimpliance without coercion

APEC ilipo kuwa Wilaya Babati, Mkoa Manyara wakati ikitekeleza utoaji wa Mafunzo ya Usalama Barabarani kwa Madereva. 201...
25/04/2017

APEC ilipo kuwa Wilaya Babati, Mkoa Manyara wakati ikitekeleza utoaji wa Mafunzo ya Usalama Barabarani kwa Madereva. 2016.

16/04/2017

BODI YA WAKURUGENZI WA APEC INAKUTAKIA PASAKA NJEMA MDAU WETU.

Fata sheria za barabarani kuendesha Kwa Usalama wa Maisha yetu.

Hatutaki Ajali, tunataka kuishi Salama.

31/03/2017
Baadhi ya Picha Katika tukio la Uzinduzi wa Chuo cha Fursa Tanzania (APEC Institute of Opportunity Planning in Tanzania)...
31/03/2017

Baadhi ya Picha Katika tukio la Uzinduzi wa Chuo cha Fursa Tanzania (APEC Institute of Opportunity Planning in Tanzania) Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe ; Kassim Majaliwa aliye wakilishwa na Kamishna wa Kazi Mama Hilda Kabissa tarehe 30.3.2017 maeneo ya kilipo Chuo Mtaa wa Kivule Kata, Kivule Ilala - Dar es Salaam.
Chuo hiki kitatoa Kozi mbalimbali za Muda mrefu na mfupi zikiwemo Mafunzo ya Usafirishaji (Logistic&Transport Management), Maendeleo ya Jamii (Community Development), Biashara (Business Administration) Kwa Ngazi ya Cheti na Diploma kwa upande wa NACTE wakati upande wa VETA Mafunzo ya Udereva, Ufundi bomba, Kompyuta, Basic Hotel Management, Ujasiriamali n.k.

Mawasiliano:~
APEC Institute of Opportunity Planning in Tanzania
(Chuo cha Fursa Tanzania)
S.L.P 80305, Dar es Salaam, Tanzania
Pugu Road, Ukonga (Kivule)
Phone : 0782114199/ 0766111748
Email : [email protected]

UJUZI NI MAENDELEO NA MAENDELEO NI MAISHA.

karibu APEC Institute of Opportunity Planning in Tanzania (Chuo cha Fursa Tanzania) ili tujenge Uchumi kwa kuandaa Fursa kwa Vijana na Jamii Kwa ujumla kupitia Mafunzo ya Ujuzi.

25/12/2016

BODI YA WAKURUGENZI WA APEC INAKUTAKI MDAU WETU KATIKA UKURASA HUU. SIKUKUU NJEMA YA NOEL (CHRISTMAS) & SHAMRASHAMRA ZA KUUKARIBISHA MWAKA MWINGINE WA 2017.

KAULI MBIU.
HATUTAKI AJALI TUNATAKA KUISHI SALAMA.

Endesha Kwa Ustarabu

  : Zoezi la Uchangiaji wa Damu likiendelea NEWALA MJINI, wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya BODABODA CHANGIA DAMU MWENZIO...
22/12/2016

: Zoezi la Uchangiaji wa Damu likiendelea NEWALA MJINI, wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya BODABODA CHANGIA DAMU MWENZIO AISHI kwa Mkoa Mtwara. 22.12.2016 .

Matukio: Uchangiaji wa Damu.
15/12/2016

Matukio: Uchangiaji wa Damu.

Kampeni ya "Bodaboda Changia Damu Mwenzio Aishi" leo tarehe 15.12.2016, Hospitali ya Taifa Muhimbili.
15/12/2016

Kampeni ya "Bodaboda Changia Damu Mwenzio Aishi" leo tarehe 15.12.2016, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

10/12/2016
05/12/2016

TANGAZO TANGAZO
Shirika lisilo la Kiserikali la APEC linalotoa Mafunzo ya Bodaboda Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi; Linatarajia kuzindua Kampeni ya "BODABODA CHANGIA DAMU MWENZIO AISHI" Uzinduzi Utafanyika Dar Es Salaam na Baada ya hapo Mikoa yote ya Tanzania kwa Lengo la kuokoa Bodaboda Wanaopata Ajali na Mama Wanao kufa wakati wa Kujifungua.

UZINDUZI UTAFANYIKA TAREHE15.12.2016 kuanzia saa 1:00 Asubuhi,

Mgeni rasmi ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe; Umi Mwalimu
Makutano ni Kitengo cha Damu Salama, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Bodaboda na Watu Wote Mnakaribisha.
(Changia Damu Okoa Maisha)
Utabarikiwa.

Wakati wiki ya nenda kwa usalama ikizinduliwa Kitaifa Mkoani Geita, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida afunga mafunzo ya ...
28/09/2016

Wakati wiki ya nenda kwa usalama ikizinduliwa Kitaifa Mkoani Geita, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida afunga mafunzo ya usalama barabarani kwa bodaboda 108 Katika Kijiji cha Mtunduru Mkoani Singida. Kwa habari zaidi
Tembelea machibyablog
http://machibyablog.blogspot.com/2016/09/wakati-wiki-yanenda-kwa-usalama.html?m=1

Wakati wiki yanenda kwa usalama ikizinduliwa Kitaifa Mkoani Geita Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida   afunga mafunzo ya usalama bar...

Address

P. O. BOX
Dar Es Salaam
80305

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ant-Poverty and Environmental Care Organization(APEC) posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share