Fikisha Courier and Logistics Services - Tanzania

Fikisha Courier and Logistics Services - Tanzania Tunatoa huduma ya usafirishaji wa mizigo mbali mbali ya ofisini na majumbani popote ulipo Dar es Salaam. Rahisisha maisha yako na Fikisha.

Tunajihusisha na usafirishaji wa mizigo mbali mbali ya ofisini na majumbani ndani ya Dar es Salaam. Lengo letu ni kupunguza kero zinazowakumba wakazi wa Dar es Salaam katika uendeshaji wa shughuli zao. Tunahakikisha usalama wa mzigo ya wateja wetu na kuifikisha popote inapotakiwa kwa muda unaotakiwa. Tunatoa huduma ya kiwango cha kimataifa kwa bei ndogo kabisa, wafanakazi wetu ni wakarimu, waamin

ifu na wamepokea mafunzo ya jinisi kukabiliana na mizigo nyeti. Tunatumia usafiri tofauti kama Piki Piki na Magari kutegemea na ukubwa wa mizigo na muda ambao mzigo unatakiwa kufika. Popote ulipo Dar es Salaam wasiliana nasi ili kurahisisha maisha yako.

24/02/2016

OFA ! OFA !
Fikisha mzigo wako popote ndani ya Dar es Salaam kwa TSH 5000 TU kwa haraka na usalama zaidi.
wasiliana nasi kupitia 0683271277
na 0658675225
FIKISHA. TUNARAHISISHA AMISHA

OFA ! OFA ! Fikisha mzigo wako popote ndani ya Dar es Salaam kwa TSH 5000 TU kwa haraka na usalama zaidi.wasiliana nasi ...
24/02/2016

OFA ! OFA !
Fikisha mzigo wako popote ndani ya Dar es Salaam kwa TSH 5000 TU kwa haraka na usalama zaidi.
wasiliana nasi kupitia 0683271277
na 0658675225
FIKISHA. TUNARAHISISHA AMISHA

Fikisha ni huduma mpya ambayo imeanzishwa kuboresha maisha yako. Tunatoa huduma ya kiwango cha kimataifa kwa bei ndogo k...
30/09/2015

Fikisha ni huduma mpya ambayo imeanzishwa kuboresha maisha yako.

Tunatoa huduma ya kiwango cha kimataifa kwa bei ndogo kabisa, wafanyakazi wetu ni wakarimu, waaminifu na wamepokea mafunzo ya jinisi kukabiliana na mizigo nyeti.

Huduma zetu ni sulihisho la changamoto k**a foleni zinazowakumba watanzania katika uendeshaji wa shughuli zao.

Fikisha inakupa uhakika wa kupokea au kutuma mizigo wako kwa haraka zaidi popote ulipo Dar es Salaam.

Tunatoa huduma mbali mbali, tunaweza kukusafirishia mzigo mmoja tu au kuingia katika mikataba ya usambazaji.Tunaelewa um...
19/09/2015

Tunatoa huduma mbali mbali, tunaweza kukusafirishia mzigo mmoja tu au kuingia katika mikataba ya usambazaji.

Tunaelewa umuhuimu wa muda wako na tunahakikisha kuwa mzigo wako utakufikia salama na kwa muda mfupi kabisa.

Kampuni letu limesajiliwa na TRA, TCRA na mamlaka zote husika.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fikisha Courier and Logistics Services - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fikisha Courier and Logistics Services - Tanzania:

Share