Wasalipa Multicargo Forwarders Limited

Wasalipa Multicargo Forwarders Limited We provide a wide range of local transport from es Salaam to and transit to neighbouring countries to and .

Our office is located at Dar es Salaam. For booking Call us +255714601678
Wasalipa Multicargo Forwarders Limited aka WASALIPA CARGO ni kampuni ya usafirishaji wa mizigo iliyosasajiliwa nchini Tanzania kupitia BRELA. Tunajihusisha na huduma za usafirishaji salama, wa haraka na wa kuaminika kwa njia kuu ya barabara nchini Tanzania mizigo kutoka Dar Es Sal

aam mpaka Tunduma. Tunasafirishaji mizigo kwa wakati na salama. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Jangwani, -Mafuso. Tunasafirisha mizigo ya aina mbalimbali kuanzia mizigo midogo, ya kati na maduka makubwa, vifaa vya ujenzi, umeme, na vipuri vya magari, mitambo na pikipiki, viwandani, pamoja na mizigo. Makao Makuu ya Ofisi ( HQ) ni Dar es salaam, eneo la Jangwani, maarufu Mafuso jangwani,
Kwa kuleta mzigo, wasiliana nasi kwa +255 714 601 678 AU 0763 771 401 0742170564

24/05/2026
18/05/2026

Kupakia tiles kuelekea Mbeya kwa mteja wetu. Call us 0714601678
Location

07/05/2026






07/05/2026

Upakiaji wa Mzigo 04/05/2026 kuelekea Tunduma
Kwa Huduma za Usafirishaji
Call: 0714 601 678
Ofisi ziko Jangwani Mafuso DAR es Salaam

07/05/2026

Mzigo ukipakiwa kuelekea Songwe (Tunduma) Wasalipa Multicargo Forwarders Limited

03/05/2026

Mzigo wa mteja unashushwa Jangwani mafuso (Dar)ili kupakiwa kwenda Mlowo mkoa wa Songwe

Call 0714 601 678

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255714601678

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wasalipa Multicargo Forwarders Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share