SMAI Express

SMAI Express Tanzania Leading e-commerce Delivery Courier, Cargo, Freight & Logistics Company. 52 stations in TZ

07/05/2026
07/05/2026

Tukiwa katika kuboresha huduma yetu kwa wateja wetu.. Tumeamua kwenda sambamba na Technology katika kurahisiha utendaji kazi na kuwa na mfumo ambao utarahisisha kutuma na kupokea mizigo midogo na mikubwa kwa wateja wetu.

Tukiwa moja ya mtoa huduma bora tutajitahidi kukupa kilichobora zaidi kuhakikisha unafurahia ukitumia huduma zetu

27/04/2026

Tunatoa pia huduma za:�✅ Customs Clearance (Uwakala wa Forodha)�✅ Freight Forwarding Services��📞 Piga simu: 0677 080 939�📍 Tembelea ofisi kuu: Bibslum Plaza, Kariakoo – Livingston & Pemba, Dar es Salaam (Office )��🔗 Ofisi zetu na matawi yake:�- Kariakoo, Dar es Salaam | 0677 080 939�- Bandari, Dar es Salaam | 0676 033 056�- Malindi, Zanzibar | +255 777 784 954�- Airport, Zanzibar | +255 773 147 09

Hakuna muda wa kupoteza ukisafirisha na Kampuni mizigo yako midago na mikubwa pia .Tupigie sasa: 0677080939 au  fika off...
26/04/2026

Hakuna muda wa kupoteza ukisafirisha na Kampuni mizigo yako midago na mikubwa pia .

Tupigie sasa: 0677080939 au  fika offisin Makao makuu ya SMAI.
Bibslum Plaza, kariakoo,Livingston na Pemba, Dar es salaam. Office

OFISI ZETU NA MATAWI YAKE:
✅Kariakoo, Dar es salaam | 0677080939
✅Bandari, Dar es salaam: 0676 033056
✅Malindi , Zanzibar | +255 777 784 954
✅ Airport , Zanzibar | +255 773 147 098

20/04/2026

Wateja wengi wamekuwa wakituuliza kwanini SMAI Express?
Wengi wanaotufuata ni kwasababu kuu mbili
- Tunasafirisha mzigo wako ndani
ya masaa tano tu unakuwa umaehsafika
kwenye hii mikoa ifuatayo Arusha, Moshi, Tanga, Zanzibar, Morogoro,
Makambako, Njombe Mbeya, Mwanza Dodoma
- Lakini pia tuna mawakala wa kupokea mzigo wako na hela kutoka wa wateja
kwa uaminifu mkubwa

Sasa Ukiwa na unaweza kupanga kuchukua au kupeleka bidhaa zako kutoka Dar es salaam kwenda nchi nzima na kuchukua bidhaa zako kutoka kwenye vituo vyetu zaidi ya 18 Tanzania bara na Zanzibar.

Tupigie sasa: 0677080939 au fika offisin Makao makuu ya SMAI Express

02/04/2026

Sasa Ukiwa na unaweza kupanga kuchukua au kupeleka bidhaa zako kutoka Dar es salaam kwenda nchi nzima na kuchukua bidhaa zako kutoka kwenye vituo vyetu zaidi ya 52 Tanzania bara na Zanzibar.

Pia unaweza pata huduma ya uwakala wa forodha Custums Clearence and Freighr Forwading Service!

Tupigie sasa: 0677080939 au fika offisin Makao makuu ya SMAI.
Bibslum Plaza, kariakoo,Livingston na Pemba, Dar es salaam. Office

OFISI ZETU NA MATAWI YAKE:
✅Kariakoo, Dar es salaam | 0677080939
✅Bandari, Dar es salaam: 0676 033056
✅Malindi , Zanzibar | +255 777 784 954
✅ Airport , Zanzibar | +255 773 147 098

-commerce

01/03/2026

Tujue sisi kwa sisi 😂😂😂
#

Address

SMAI Express
Dar Es Salaam
11101

Opening Hours

Monday 03:30 - 18:00
Tuesday 03:30 - 18:00
Wednesday 03:30 - 18:00
Thursday 03:30 - 18:00
Friday 03:30 - 18:00
Saturday 15:30 - 05:00

Telephone

+255677080939

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SMAI Express posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share