17/04/2026
THE 139TH CANTON FAIR
Je, unatafuta fursa mpya za kibiashara China?
Msimu wa Canton Fair 139 umewadia!
Usihangaike na usafiri au mizigo, Simba Cargo tuko hapa kuhakikisha unanunua na kusafirisha bidhaa zako kwa usalama na haraka zaidi mpaka Dar es Salaam.
π Phase 1: Electronics & Hardware (Aprili 15-19)
π Phase 2: Houseware & Furniture (Aprili 23-27)
π Phase 3: Toys, Fashion & Health (Mei 01-05)
Wasiliana nasi leo au fika ofisini kwetu Lumumba Street, New Ushirika Tower 11Floor.