Spot Looking for safe & fast transportation with affordable fees? Introducing Spot
Spot is an easy to use app for ordering your next ride

How does it work?

Simply log in to the App and choose your Destination

Usihofu kuhusu wikiendi utatokaje au utarudije nyumbani. SPOT Ride ipo kwaajili yako. Itisha usafiri wako na uenjoy mais...
12/11/2021

Usihofu kuhusu wikiendi utatokaje au utarudije nyumbani. SPOT Ride ipo kwaajili yako. Itisha usafiri wako na uenjoy maisha na marafiki. Mchongo ndio huu sasa๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Get started with our user-friendly app in a flash. Easy to use and operate, with simple prompts and intuitive navigation, Spot is the perfect app for everyone from teens to seniors. You can book a ride using the Mobile App, through the website, or simply by calling us. This is how our revolutionary....

Habari njema sio ya kukaa nayo๐Ÿ˜, ni ya kushea na wana na washkaji. Waambie wana kuhusu mchongo mpya wa SPOT Ride. Ukiwez...
11/11/2021

Habari njema sio ya kukaa nayo๐Ÿ˜, ni ya kushea na wana na washkaji. Waambie wana kuhusu mchongo mpya wa SPOT Ride. Ukiweza kushea na mtu kutumia App yetu basi unajitengenezea pesa๐Ÿ‘Œ. Tengeneza pesa kwa kushea na wana sasa. Mchongo ndio huu.

Application yetu ina njia nyingi na salama za kulipia safari zako. Hii ni kuhakikisha usalama wako unakuwepo masaa yote ...
10/11/2021

Application yetu ina njia nyingi na salama za kulipia safari zako. Hii ni kuhakikisha usalama wako unakuwepo masaa yote ya safari yako. Ungependa kulipia kwa njia gani ukiwa na App yetu?

Furahia uhuru wa kufanya kazi muda wowote uutakao. Jiunge na SPOT uanze kuendesha leo hii.
09/11/2021

Furahia uhuru wa kufanya kazi muda wowote uutakao. Jiunge na SPOT uanze kuendesha leo hii.

Usihofu kuhusu dereva kupotea, kupitia app yetu unaweza ona muelekeo wa dereva wako na kumuelekeza pale inapobidi. Furah...
08/11/2021

Usihofu kuhusu dereva kupotea, kupitia app yetu unaweza ona muelekeo wa dereva wako na kumuelekeza pale inapobidi.

Furahia teknolijia ya kisasa katika kukamilisha safari zako.

Kwani huko kwenu mambo yapoje?๐Ÿ˜‚. Huku kwetu ni FURAHA-DEILIII. Jiunge na SPOT leo uenjoy mambo mazuri.๐Ÿ˜‰Tunawatakia Ijuma...
05/11/2021

Kwani huko kwenu mambo yapoje?๐Ÿ˜‚. Huku kwetu ni FURAHA-DEILIII. Jiunge na SPOT leo uenjoy mambo mazuri.๐Ÿ˜‰

Tunawatakia Ijumaa njema.

Itisha usafiri kwa haraka na salama zaidi ukiwa na app yetu. Usihofu kutuuliza chochote kuhusiana na app yetu. Tuko taya...
04/11/2021

Itisha usafiri kwa haraka na salama zaidi ukiwa na app yetu. Usihofu kutuuliza chochote kuhusiana na app yetu. Tuko tayari kukusaidia.

Haina haja ya kusubiria wiki nzima ili upate pesa zako. Pata pesa yako ndani ya masaa mawili baada ya kumaliza safari ya...
03/11/2021

Haina haja ya kusubiria wiki nzima ili upate pesa zako. Pata pesa yako ndani ya masaa mawili baada ya kumaliza safari yako. Endesha na SPOT leo uone tofauti.๐Ÿ˜Š

Ukiwa na sisi mambo ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Chagua usafiri uupendao wewe. Kwetu ni raha tu.
02/11/2021

Ukiwa na sisi mambo ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Chagua usafiri uupendao wewe. Kwetu ni raha tu.

Je wajua? Sisi ni zaidi ya app nyingine. Tengeneza pesa kila unapo shea msimbo na rafiki zako. Shea kadri uwezavyo na ut...
01/11/2021

Je wajua? Sisi ni zaidi ya app nyingine. Tengeneza pesa kila unapo shea msimbo na rafiki zako. Shea kadri uwezavyo na utengeneze pesa zaidi na zaidi. Kazi ni kwako๐Ÿ˜Š.

Tengeneza kipato zaidi kwa kuendesha ukiwa na App yetu. Ni rahisi, jiunge sasa.
29/10/2021

Tengeneza kipato zaidi kwa kuendesha ukiwa na App yetu. Ni rahisi, jiunge sasa.

Je, unajua? Spot rides tunakupa uwezo wa kufanya safari za kikazi. Kupitia account ya business, unaweza jisajili k**a ka...
28/10/2021

Je, unajua? Spot rides tunakupa uwezo wa kufanya safari za kikazi. Kupitia account ya business, unaweza jisajili k**a kampuni. Hii itakuwezesha kuitisha safari za kikazi wewe pamoja na team yako. Mambo si ndio hayo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‰.

Address

Kurasini
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Spot posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share