23/04/2021
Apollo Clearing Co. Ltd ni kampuni ya kizalendo inayojishughulisha na kazi za kutoa mizigo mbali mbali inayoingizwa nchini kutoka nchi za nje kupitia bandari zetu zote ,viwanja vya ndege na mipaka yetu. Mizigo hiyo ni pamoja na magari, nguo, mitambo mbali mbali, vipuri vya magari, vipuri vya mitambo, mataili ya magari na mingine mingi.
Vile vile kampuni yetu inatoa huduma ya kuwasaidia wateja wetu kuwaagizia magari ya ndoto zao kwa gharama ndogo sana.
Karibu sana tutembelee tunapatikana ofisi namba 124 ghorofa ya kwanza Jengo la NHC (LIDA HOUSE) lililopo mtaa wa NKURUMAH mkabala na kituo cha mafuta cha GBP, Dar es salaam
Pia wasiliana nasi kwa:- 0783 664066
(call&WhatsApp)
WhatsApp- https://wa.me/message/ZTGYCTPLTVLVI1
Facebook: Apollo clearing
KARIBU SANA TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA.
Facebook: *Apollo clearing*
KARIBU SANA TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA.