11/07/2023
Sisi hukusaidia kufungazigo wako kabla ya kuupeleka kwa mteja wako. Huduma hii ni Bure kwa mizigo midogo na utachangia kidogo kwa mizigo mikubwa.
Lengo letu ni kufanya biashara yako iwe rahisi.
Kwa huduma za delivery usiaite kutupigia 0623682843 au 0784851632.