19/06/2021
JADEED LOGISTICS LIMITED
TUNAENDELEA KUTOA HUDUMA KWA NAFUU NA HARAKA
ASANTE MTEJA WETU KWA KUTUAMINI
Ni waagizaji na watoaji magari na mizigo kwa bei nafuu
Pia tunafanya kazi na makampuni mbalimbali, kampuni binafsi na mtu mmoja mmoja
Umakini kwenye kazi zetu ndio kitu tunacho kizingatia sana
Kazi yetu ni kutoa huduma kwa haraka na weredi wa hali ya juu
Kumbuka risiti ni haki yako