08/08/2025
Heri ya Siku ya Wakulima Nchini Tanzania!
Kaluu Express Cargo inajivunia kuwa sehemu ya maendeleo ya kilimo nchini kwa kurahisisha usafirishaji wa bidhaa na vifaa vinavyowafikia wakulima wetu. Tunatambua mchango wenu k**a msingi wa uchumi wetu. Tunawatakia mafanikio tele katika kazi yenu