14/12/2023
Nilipokaribia kitini cha enzi
Shetani alisema ni mchafu, huyu hafai
Yesu akasimama, akasema ona
Nimelipa gharama yake
Nimesimama, kwa rehema na neema yake
Ile gharama, ya uhai wangu
Yesu amelipa yote eeeh!