Vibrant Opposition in Kenya - 2022-2027

Vibrant Opposition in Kenya - 2022-2027 Cargo and Freight Services

28/01/2026

Intelligence is knowing when to speak and when silence wins.

12/07/2023

Ruto promised us yesterday that he would be at the forefront to deal with Kenyan citizens that would dare demonstrate. Has anybody seen him today?

10/06/2023
05/06/2023

If Finance Bill is passed, wakenya wengi watapoteza kazi. Waajiri watatumia machines. Machine haina gharama ya NHIF, NSSF, etc.

05/06/2023

Ruto aliahidi police new uniforms. Ameshindwa kutimiza Hadi hiyo.

05/06/2023

Ruto na Atwoli WAMESHINDWA na kutimiza huduma za NHIF. Sasa WANAJIFANYA eti housing fund ndio wataweza....

05/06/2023

Gachagua aliahidi wakikuyu mchele na nyama. Ameshindwa kutimiza hiyo ahadi miezi kumi after kupewa kiti.

05/06/2023

HAKUNA kitu Ruto imefanyia wananchi tangu achukue kiti. Ni vyeo tu amepatia billionaires like MaDVD.

05/06/2023

Effect of Turnover Tax on Bodaboda means for every passenger, lazima ulipe serikali tax. That is after paying 16% VAT on fuel....

05/06/2023

HAKUNA kazi Ruto anataka kupatia vijana na hiyo 3%. Ni pesa ya kulipia madeni ya campaign.

01/06/2023

Dictator William Ruto.

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vibrant Opposition in Kenya - 2022-2027 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share