25/09/2026
FRIDAY FINALLY na k**a kawa… customers wetu hawachoki na ideas😄 IDEA #4 imeingia kwa DM ..someone slid into our DMs and said:
"Guardian, si mtu aanze kulipia safari yake mdogo mdogo mpaka siku ya safari?" hatutasema ni nani ametuma…maana sisi tunajua kuweka secrets😁
Tuseme ukweli… hii idea imeweza ama imechemka? 😂
meanwhile viketi vyetu tunabook via www.theguardiancoach.com tukisikiza maoni yenu...ni hayo tu kwa sasa>>>>