Bebeleza myoyo iokolewe mtelez.

Bebeleza myoyo iokolewe mtelez. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bebeleza myoyo iokolewe mtelez., Transit System, Makueni.

17/11/2019

BADILIKENI KWA MANENO MAPYA NA YA KALE YASAULIWE TUTAZAME MAPYA TUKIZIDI TUINUANA KWA IMANI AMINA.

17/11/2019

SIKWAMBA UCHAWI NDIO KILA SABABU YA MACHUKIZO PEKEE LA. SIVYO, kuna mambo ya kutenda bila kuamini mchawi kila wakati, mbadilikeni tokeni katika imani aba.nakila mtu atekeleze kazi yake na mtabarikiwa AMINA.

Moyo safi utoa yaliyo safi, Ila moyo mchafu utoa yaliyo machafu. TAFAKARI MWENENDO WAKO NA UJIREKEMBISHE(YEREMIA8.4-5)AM...
15/11/2019

Moyo safi utoa yaliyo safi, Ila moyo mchafu utoa yaliyo machafu. TAFAKARI MWENENDO WAKO NA UJIREKEMBISHE(YEREMIA8.4-5)AMINA.

15/11/2019

MHUBIRI7.20-23) bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa dunuani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi,21,/////ebu tafakari wewe mwenye fitina husiye tenda je? Fitina sio dhambi? nakama sio dhambi paaaa mbinguni usiwe ulimwenguni tena, (TUBU DHAMBI)AMINA.

JIADHARI NA MAKAFIRI WANAO LAGAI WATU WAKITUMIA JINA LA UNABII, NAKUTOZA WATU PESA KAMA (3000)NDUGU NA DADA ; MUWE MACHO...
13/11/2019

JIADHARI NA MAKAFIRI WANAO LAGAI WATU WAKITUMIA JINA LA UNABII, NAKUTOZA WATU PESA KAMA (3000)NDUGU NA DADA ; MUWE MACHO!(WAGALATIA2.4-6) AMINA.

11/11/2019

KWELI NI KWAMBA KILA MTU NA MCHUNGAJI WAKE, MTUMISHI BWANA YESU,,,NA MTUMISHI WA SHETANI. WAKO NIYUPI???.

KUPUNGUKIWA NA PESA SIO KUJERUHIWA, NA KUA MASKINI SIO UNGOJWA , MASKINI NA TAJIRI WOTE ,WA PUGA HEWA SAWASAWA . MAANA H...
10/11/2019

KUPUNGUKIWA NA PESA SIO KUJERUHIWA, NA KUA MASKINI SIO UNGOJWA , MASKINI NA TAJIRI WOTE ,WA PUGA HEWA SAWASAWA . MAANA HEWA NI YA MUNGU, ILA KUTAFUTA MALI NI KWA MWANADAMU,(LEO KWO KESHO KWA MWEZIO)(MITHALI8.17-19)AMINA.

MWANSHAGAZA myoyo imepasuka akuna amani kwa roho za watu !!!! Na mkiarifiwa mtafute mungu; mwagahiri yaliyo mema mwataka...
10/11/2019

MWANSHAGAZA myoyo imepasuka akuna amani kwa roho za watu !!!! Na mkiarifiwa mtafute mungu; mwagahiri yaliyo mema mwataka yaliyo potoka!!!!! Mimi sasa nagura naenda zangu.

09/11/2019

Chapa kazi pokea rinziki ya aki bila jasho upati katika ulimwengu wa sasa twende kazi wewe.

AKUPENDAYE MOYO UNDAI NA SIKU IPITI BILA KUKU JULIA ALI NZAKO ,ILA WENGINE ,NI MARAFIKI WAKATI UNA PESA ,NA UKIISHIWA WA...
08/11/2019

AKUPENDAYE MOYO UNDAI NA SIKU IPITI BILA KUKU JULIA ALI NZAKO ,ILA WENGINE ,NI MARAFIKI WAKATI UNA PESA ,NA UKIISHIWA WANA KUEPA, NANI MPEZI WA KWELI SASA?

Address

Makueni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bebeleza myoyo iokolewe mtelez. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category