13/05/2022
Hi! Member wetu kwa jina Nyakina Nyarenchi alimpoteza babake mpendwa iyo Jana.Naomba tuzidi kumkumbuka kwa maombi wakati huu mgumu.Pia tuendelee kujitayarisha kwa maandalizi ya mazishi kwa ushirikiona ilivyo kawaida.Asanteni sana na Mungu awabariki!