08/09/2026
Alistair Logistics tunatafuta madereva wa malori wenye uzoefu kujiunga na timu yetu inayokua kwa kasi. Mshahara mnono; Bima ya Afya ya kwako na wategemezi ,Posho kubwa, ambayo huwezi pata kokote. Mazingira mazuri na rafiki kwa madereva. Ukiwa Alistair ni lazima utoboe kimaisha.
K**a una:
โ๏ธ Leseni daraja E
โ๏ธ Uzoefu wa kuendesha lori miaka 2+
โ๏ธ Passport halali
โ๏ธ Police clearance (alama za vidole)
๐ Hii ni nafasi yako!
๐ Siku ya Usaili
Tarehe 10 September-11 September
๐ 7:30 AM โ 4:00 PM
๐ Alistair Kurasini Yard, Plot No. 353/354 โ Dar es Salaam
๐ก Madereva wa ndani ya nchi (Loko) wenye uzoefu wanahimizwa kuomba โ kuna nafasi za mafunzo ya safari za nje ya nchi.
๐ฒ Jisajili sasa kwa kuscan QR code kwenye tangazo au kupitia link hii:
๐https://shorturl.at/FfIrN