Deni Tanzania

  • Home
  • Deni Tanzania

Deni Tanzania Mteja Wako Hataki Kufanya Malipo Mpaka Apokee Mzigo? Tumia App Ya Deni, Inapatikana Playstore na App Store

10/06/2026

Deni App inapatikana Playstore na AppStore

Endapo unapata Wateja 2 - 5 kwa siku wanaotaka kulipa Baada ya Kupokea Mzigo, Tumia Deni App

Kwa Maelezo Zaidi Piga: 0743748655

Watakaoqualify katika Muda wa Mafunzo ya Mwezi Mmoja watapewa Ajira Rasmi.Tuma Voice Note yako na Picha Yako Kwenda What...
09/06/2026

Watakaoqualify katika Muda wa Mafunzo ya Mwezi Mmoja watapewa Ajira Rasmi.

Tuma Voice Note yako na Picha Yako Kwenda WhatsApp Number

0686255811

Tafadhali usipige simu, Fuata Maelekezo.

08/06/2026

Takribani Wafanyabiashara 29 wamechaguliwa kati ya Wafanyabiashara 40 walioomba kupewa UDHAMINI wa DENI APP kwenye Program ya DENI APP BOOST MAUZO

program inayoanza Rasmi siku ya KESHO tarehe 9June2026

Ikilenga kutoa usimamizi wa matangazo (SPONSORED ADS) kwa wafanyabiashara wanaotumia DENI APP

🤝🤝

Asanteni wote, wacha safari ya Mafanikio iendelee 💪🏼💪🏼

05/06/2026

MCHAKATO WA USAJILI KWENYE PROGRAM YA DENI APP BOOST MAUZO UMEFUNGWA RASMI LEO

Zoezi linalofuata ni kuchuja wafanyabiashara walioqualify na mchakato wa Malipo na Ukaguzi wa Account kufanyika

Zoezi hili Linategemewa Kukamilika Tarehe 08JUNE2026

Endapo utapewa TAARIFA ya KUCHAGULIWA kwenye Project hii hakikisha unafanya Malipo Kabla ya tarehe 08JUNE2026

04/06/2026

DENI APP NI MAHALI UAMINIFU ULIPO

Tunakusaidia kufanya Mauzo kwa Wateja Wa Mikoani ambao wanataka kufanya Malipo baada ya Kupokea Mzigo

DENI APP inapatikana Playstore na Appstore

Kwa Maelezo Zaidi WHATSAPP 0743748655

03/06/2026

Msikilize KIONGOZI wa Project ya DENI APP BOOST MAUZO akikueleza kwanini unatakiwa kuchangamkia hii Fursa ya kupata USIMAMIZI WA MATANGAZO YAKO kwa gharama karibia na BURE KABISA

Bonyeza LINK kwenye BIO ya AKILIKUBWA COLLEGE ili kujisajili kwenye Program hii..

Kwa Maelezo zaidi piga: 0743748655

02/06/2026

TAFU LA DENI APP 05:
Endapo unahitaji hiyo SAA au Bidhaa nyingine yoyote ya Electronic Accessories unaweza kuwasiliana na kupitia namba:

WHATSAPP: 0741015039

(BIDHAA YOYOTE UTAKAYONUNUA KWAO UTALIPA BAADA YA KUPOKEA KWASABABU WANATUMIA DENI APP)

Endapo unahitaji kuelewa kuhusu Deni App inavyoweza kukusaidia kupokea mizigo ya WATEJA wako wanaotaka kulipa baada ya kupokea wasiliana nasi kupitia namba

0743748655
Follow:

02/06/2026

Ndugu Wafanyabiashara huyu hapa ni NELSON MPALALA ambaye ndio amechaguliwa kuwa PROJECT LEAD yaani kiongozi wa Program ya DENI APP BOOST MAUZO

Project ambayo ni Ushirikiano kati ya DENI APP pamoja na AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING

Yenye LENGO la kuwasaidia wafanyabiashara wanaotumia DENI APP kwa kuwasimamia matangazo yao kwa kuwasetia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ili kupata wateja wengi kwa urahisi

NELSON ni kijana ambaye alihitimu mafunzo ya INTAKE THREE ya DIGITAL MARKETING COMPLETE COURSE katika chuo cha AKILIKUBWA COLLEGE

Alifanikiwa kufaulu kwa WASTANI wa Marks 84 (A) na kupata CHETI cha Advanced Certificate in Social Media Management

Lakini pia kwenye DIGITAL MARKETING CHAMPIONSHIP YA AKILIKUBWA inayoendelea tayari yupo kwenye NUSU FAINALI

Hii yote inathibitisha uwezo wake mkubwa alionao

Tunaamini ataongoza project hii kwa mafanikio makubwa.

Bonyeza LINK kwenye BIO ya AKILIKUBWA COLLEGE ili kuweza kupata nafasi kwenye Program hii ya DENI APP BOOST MAUZO

Cc


akilikubwa

01/06/2026

Hii hapa GOOD NEWS kutoka DENI APP & AKILIKUBWA COLLEGE

Tumekueletea Program Maalumu ya KIMKAKATI ijulikanayo k**a DENI APP BOOST MAUZO

ambapo kupitia VIJANA wataalamu wa Digital Marketing kutokea AKILIKUBWA COLLEGE Mfanyabiashara yeyote anayetumia DENI APP atapata Usimamizi wa MATANGAZO yake kwenye MITANDAO YA KIJAMII…

ambapo DENI APP itakudhamini Tsh 40,000 kila mwezi na wewe utalipia Tsh ELFU KUMI TU kila mwezi badala ya ELFU 50 ili kupata usimamizi wa matangazo yako mitandaoni kwa miezi mitatu.

Program hii ya DENI APP BOOST MAUZO imeanza rasmi LEO Tarehe 01JUNE2026

ili kupata udhamini huu wa Deni App kwenye progran hii jaza fomu hii unaweza kuipata kwenye BIO YA AKILIKUBWA COLLEGE

https://forms.gle/taCpqSvThYfzp7297

👆🏽👆🏽👆🏽

Kwa MAELEZO ZAIDI wasiliana nasi: 0743748655

27/05/2026

ACHA KUSHAWISHI SANA WATEJA, TUMIA DENI APP waambie watalipa baada ya kupokea mzigo.

Deni App tutakusaidia jambo hilo la kupokea mzigo wako na mteja atakuja kulipia kwenye ofisi yetu iliyopo mkoani kwake.

Deni App inapatikana Playstore na AppStore

KWA MAELEZO ZAIDI: WHATSAPP 0743748655
Follow:

Address


25500

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Deni Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Deni Tanzania:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Transport Service?

Share